Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kama mlivyingiaMkuu sasa Yanga tumeingiaje hapa? 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mlivyingiaMkuu sasa Yanga tumeingiaje hapa? 🤣🤣
Mwamba anakula goodtime sana na majibu yake ya dhihaka na kejeli kwa watanzania..View attachment 3222053
Hivi ukitazama hiyo video unaona kuna anayekuelewa usemacho/uandikacho?
Huyo ni mmoja katika wote walioko huko juu,
Huyo ndiye moja ya think tank wetu
Huko nje wahamiaji haramu wanarudishwa makwaoNa ukitoka huko nje utaenda kuajiriwa na serikali yahuko uendako?
😂😂😅Wananchi: Tunaomba mtujengee barabara kwa kiwango cha lami ili tuweze kusafirisha mazao na kuweza kufika wilayani kwenye hospitali ya wilaya kutibiwa.
Chama tawala /serikali: ijibu kwa video hiyo😄😄
Huko nje wanatimuliwa waafrika na wahamiaji wasio na vibali toka korna zote za dunia hivyo tujenge kwetu ndugu,hapa dawa ni kuacha kucheka na nyani,kwani watakula hata mabua.Hivyo ni kuwadai wenye jukumu hilo.Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k
Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
Kuna kampuni Lukuki zenye tenda za huduma kwa serikali mfano usafi, vituo vya watoto, wazee nk so uwezekano wa kupata za ivyo ni mkubwa maana wananchi wengi nchini humo hawawez kufanywa izo kutokana na Ukubwa wa uchumi wao. Umeelewa?Na ukitoka huko nje utaenda kuajiriwa na serikali yahuko uendako?