RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Na wameipa jina Hati ya kusafiria.Kupata passport eti lazima useme unaenda wapi na kufanya nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wameipa jina Hati ya kusafiria.Kupata passport eti lazima useme unaenda wapi na kufanya nini.
Bado kuna watu wengi wanalalamikia suala la passport hii maana yake kuna shida sehemu. Sawa exceptions zipo yaani kuna wachache watabahatika kutokutana na kero wakati wa ufatiliaji mfano wewe lakini malalamiko ya wengi ni ishara kwamba mfumo una hitilafu sehemu.Cha ajabu sisi hatukupata shida ingawa documents muhimu kulikuwa hakuna. Nyinyi wenye documents muhimu sasa hivi mnapataje shida? Ukikamilisha mahitaji yote,yaani documents sahihi hakuna wa kukusumbua. Hakuna. Kama hujaka.ilisha documents lazima wakuendeshe tu. Sijawahi kupata shida kupata passport NI kitambulisho cha kura etc
Wanaogopa ukienda nje utapata fedha halafu utakuja kuwapindua madarakani. Hawapendi diasporaKila sehemu ugumu tu, ajira haluna na mazingira rafiki ya kwenda kujitafutia nje hakuna.
Unajiukiza hii seriklai ipo kwa ajili ya nini!!!?
Nilidhani kila mtanzania alitakiwa kuwa nayo akitaka, then ikitokea umepata safari ndio ukapambane na ubalozi huko.Na wameipa jina Hati ya kusafiria.
Na wameipa jina Hati ya kusafiriaKupata passport eti lazima useme unaenda wapi na kufanya nini.
Kero kama kuchelewa kupewa huwa zinatokea. Unaweza kusikia mara printer sijui mbovu etc. Ila ukikamilisha documents hakuna wa kukuzuia usipate passport. Hakuna.Bado kuna watu wengi wanalalamikia suala la passport hii maana yake kuna shida sehemu. Sawa exceptions zipo yaani kuna wachache watabahatika kutokutana na kero wakati wa ufatiliaji mfano wewe lakini malalamiko ya wengi ni ishara kwamba mfumo una hitilafu sehemu.
Wapo watu wanazo hawana hata mpango wa kusafiri.Nilidhani kila mtanzania alitakiwa kuwa nayo akitaka, then ikitokea umepata safari ndio ukapambane na ubalozi huko.
hiki kigezo kiliniliza sanaKupata passport eti lazima useme unaenda wapi na kufanya nini.
Kila nikifikiria kufatilia passport hii kitu inanikatisha tamaaKupata passport eti lazima useme unaenda wapi na kufanya nini.
Mkuu hebu pendekeza masharti yapi magumu yaondolewe ili kupata passport. JF wanasoma wakubwa wengi wataona maoni yetu.Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k
Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
Kwanini mkuu? Mbona jibu lake ni rahisi hilo swali? Tushalizungumzia humu.Kila nikifikiria kufatilia passport hii kitu inanikatisha tamaa
Mkuu hebu pendekeza masharti yapi magumu yaondolewe ili kupata passport. JF wanasoma wakubwa wengi wataona maoni yetu.
Hakuna nchi duniani inayotoa passport bila masharti(vigezo,utaratibu).Passport inabidi kutolewa bila msharti na mnabidi muhakikishe mnaondoa figisu za kuwazuia vijana kutoka
Angalieni Kenya mjifunze , au huwa mnafurahia ambavyo Ajira 100 zikiombwa na elfu tano.?
Jibu lake ni lipi mkuu. Maana siwezi kusoma threads zote za jfKwanini mkuu? Mbona jibu lake ni rahisi hilo swali? Tushalizungumzia humu.
Swali unaenda wapi na kufanya nini?Jibu lake ni lipi mkuu. Maana siwezi kusoma threads zote za jf
Mkuu, nimekwambia weka masharti ambayo unaona yanafaa kuondolewa. Na wahusika wapime sababu za hayo masharti zina mashiko?Ndo tatizo hilo Ila watakoteseka ni watoto wenu sasa hivi hauwezi kujua kwakuwa unapokea mshahara wa serikali.
Mkuu sasa Yanga tumeingiaje hapa? 🤣🤣View attachment 3222053
Hivi ukitazama hiyo video unaona kuna anayekuelewa usemacho/uandikacho?
Huyo ni mmoja katika wote walioko huko juu