Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Jibu zuri sana.Basi tuvute subira maana hawawezi kwenda kule kwa uwingi huo halafu wasiturushie picha hapa jamii forums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu zuri sana.Basi tuvute subira maana hawawezi kwenda kule kwa uwingi huo halafu wasiturushie picha hapa jamii forums
Nafikiri hayo matope kuwa ya moto ni kutokana na friction iliyosababishwa na massive movement ya hizo tabaka za ardhi, huenda isiwe volcano.Kama ingekuwa Volcano basi hayo matope yaliyochanganyika na Lava yangekuwa yame-Solidify.
Pia, Volcano sio Siri. Kwani moshi ungeonekana hata miji ya jirani
Volcano isiyokuwa na lava ikasababisha earth tremor ambayo ili trigger mudslide.....sounds logical as well.Lava haikutoka
Serikali kupitia viongozi 🇹🇿 hawataki kuwajibikaDuuh.
Sasa mtoa mada serikali ikificha jambo hili inapata faida gani kwa jambo ls ufichaji huo ?
Hiyo faida inawez kumake sense kwamba ni kubwa sana hiyo faida kuliko kuzificha pichq hizo ?
NI sawa na watu wanaoamini kwamba dunia ni flat huku wakisema kwamba tunafichwa kuambiwa ukweli huo,ila wakiulizwa kwamba wanaoficha ukweli wa dunia flat wanapata faida gani katika kuficha huko ? Majawabu yanakuwa hayana mvuto.
Hivyo mtoa mada kabla ya kusema jambo hilj ilitakiwa uje na strong reasons za kuonesha namna ambavyo hao wafichaji wa picha namna wanavyonufaida.