Serikali kwanini inaficha picha za Katesh, Hanang?

Kama ingekuwa Volcano basi hayo matope yaliyochanganyika na Lava yangekuwa yame-Solidify.
Pia, Volcano sio Siri. Kwani moshi ungeonekana hata miji ya jirani
Nafikiri hayo matope kuwa ya moto ni kutokana na friction iliyosababishwa na massive movement ya hizo tabaka za ardhi, huenda isiwe volcano.
 
Serikali kupitia viongozi 🇹🇿 hawataki kuwajibika
Mfano shinyanga mwaka jana mabwa ya kemikali ya mgodini yalipasuka na Tope lake kusambaa kwenye mashamba na nyumba za watu, RC akasema Hilo

Tope halina shida ni Tope la kawaida Tu, baadaye akalamba ukatibu uenezi CCM,
Lakin hiyo company baadaye ilikiri kuwa lile Tope Lina kemikali na wataoa fidia,

Japo mpaka Sasa sijasikia muathirika wowote aliyepewa fidia .

Na hakuna mwandishi aliye report ile habari Tena

Serikali ya CCM haiko Kwa ajili ya watu wake eleweni Hilo, wao ni kutawala Tu
 
Basi tuvute subira maana hawawezi kwenda kule kwa uwingi huo halafu wasiturushie picha hapa jamii forums
Mbona drone moja inatosha kufanya Kazi kiamilifu kabisa,
Si salama watu kwenda kupanda kwenye ule mlima
 
Mpaka Sasa bado hatujapata picha za mlima hanang uliosababisha maafa Katika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…