Serikali kwanini isijenge majengo mazuri mikoa au wilaya kuliko kuyajaza mikoa iliyojengeka kama Dar, Pwani, Arusha, Dodoma?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia vitu kama hivyo mikoa ambayo haijajengeka.

images (4).jpeg
 
Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na dar hivyo wageni wakishuka dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama lindi pia panafikika kirahisi au mfano singida na dodoma iko karibu kwanini tusijenge pia vitu kama hivyo mikoa ambayo haijajengeka.
Baada ya kujenga, majengo hayo yatatumika kama ilivyokusudiwa?

Nenda pale rahaleo Mtwara ukaone majengo yaliyomalizika jinsi yalivyo wazi na hayana cha kufanyia. Majengo hujengwa sambamba na shughuri za kiuchumi za mkoa husika. Mfano tu, majengo ya TRA yaliyopo Chato, eneo lile lina uchumi wa kusababisha majengo yale kutumika ilivyodhaniwa?
 
Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia vitu kama hivyo mikoa ambayo haijajengeka.

Akili za kimagufuli hizi, Airport Chato wanaanikia mahindi sasa hivi.
 
Baada ya kujenga, majengo hayo yatatumika kama ilivyokusudiwa?

Nenda pale rahaleo Mtwara ukaone majengo yaliyomalizika jinsi yalivyo wazi na hayana cha kufanyia. Majengo hujengwa sambamba na shughuri za kiuchumi za mkoa husika. Mfano tu, majengo ya TRA yaliyopo Chato, eneo lile lina uchumi wa kusababuisha majengo yale kutumika ilivyodhaniwa?
Nasemea majengo yaliyokusudiwa kama kumbi za kimataifa. Mfano kwanini badala labda kumbi ya mkutano likajengwa dodoma basi isogezwe hata singida na penyewe paonekane maana kama ni mkutano lazima watakuja tu.
 
Mnawaza mpate pesa za perdiem na safari,
 
Nasemea majengo yaliyokusudiwa kama kumbi za kimataifa. Mfano kwanini badala labda kumbi ya mkutano likajengwa dodoma basi isogezwe hata singida na penyewe paonekane maana kama ni mkutano lazima watakuja tu.
Huwa unatafalari lakini ? Ukumbi mikutano kimataifa au ya vicoba? Lazima viwanja ndege international....hoteks 5stars ziwepo ....facility zote muhimu ....Simgida otajengwa na watu binafsi kumbi harusi mikutano za kawaida...guess lodge hotel 3stars inatosha plus viwanda mafita alizeti ....etc
 
Nasemea majengo yaliyokusudiwa kama kumbi za kimataifa. Mfano kwanini badala labda kumbi ya mkutano likajengwa dodoma basi isogezwe hata singida na penyewe paonekane maana kama ni mkutano lazima watakuja tu.
Mkutano hufanyii popote kisa tu pana ukumbi. Sehemu ya kufanyia mkutano hutegemea mkutano unahusu nini, wahusika wa mkutano ni akina nani, idadi wa wahusika wa mkutano, huduma muhimu za kusapoti mkutano, gharama za mkutano etc..!! We mkutano wa kilimo cha korosho ukaufanyie Mwanza badala ya Mtwara..!!??
 
Alafu wakijenga munakuja na Post, Dar hakuna jengo kama hili, miaka kadhaa tunaipiku Dar nk
Kwahiyo, kwako, huko mikoani kusijengwe majengo hayo kisa KUNA WATU WATAKUJA KUITAMBIA DAR?? Hukupaswa kutoa hoja isiyo na mshiko kama hii..!!
 
Baada ya kujenga, majengo hayo yatatumika kama ilivyokusudiwa?

Nenda pale rahaleo Mtwara ukaone majengo yaliyomalizika jinsi yalivyo wazi na hayana cha kufanyia. Majengo hujengwa sambamba na shughuri za kiuchumi za mkoa husika. Mfano tu, majengo ya TRA yaliyopo Chato, eneo lile lina uchumi wa kusababuisha majengo yale kutumika ilivyodhaniwa?
Hiyo sio point kama ,kama unabisha nenda kuna miiji kama mkoa una watu laki 6 tu una majengo makubwa ,Kigoma yenye watu million karibia mbili haina hiyo kitu.

Katafute nchi za Asia na Europe uone.
 
Nasemea majengo yaliyokusudiwa kama kumbi za kimataifa. Mfano kwanini badala labda kumbi ya mkutano likajengwa dodoma basi isogezwe hata singida na penyewe paonekane maana kama ni mkutano lazima watakuja tu.
Hiyo ni shughuli ya sekta binafsi

Mfano umejengwa ukumbi wa mikutano ya kimataifa Singida je kuna hoteli za kimataifa hapo singida? Hao wageni wa kimataifa watalala wapi? Jengeni kwanza hoteli za kimataifa kama Arusha na Dar ndipo kumbi za kimataifa zaweza jengwa
 
Nakuunga mkono ,wafanye angalau kila jengo la halmashauri liwe refu.
Jengo refu linahitaji kuwa na lift je mapato ya halmashauri zina uwezo wa kifedha hata za kulipa huo umeme wa kuendesha lift ?

Majengo marefu hujengwa eneo lenye shida ya ardhi

Singida kuna shida ya Ardhi kama Dar na Arusha? Hadi yajengwe Maghorofa marefu?
Wafanyakazi wenyewe wa halmashauri wako wangapi hadi wahitaji jengo refu la ghorofa?
 
Hiyo sio point kama ,kama unabisha nenda kuna miiji kama mkoa una watu laki 6 tu una majengo makubwa ,Kigoma yenye watu million karibia mbili haina hiyo kitu.

Katafute nchi za Asia na Europe uone.
Unailinganisha Tanzania na Asia..!! Haya ndugu
 
Jengo refu linahitaji kuwa na lift je mapato ya halmashauri zina uwezo wa kifedha hata za kulipa huo umeme wa kuendesha lift ?

Majengo marefu hujengwa eneo lenye shida ya ardhi

Singida kuna shida ya Ardhi kama Dar na Arusha? Hadi yajengwe Maghorofa marefu?
Wafanyakazi wenyewe wa halmashauri wako wangapi hadi wahitaji jengo refu la ghorofa?
Wapangishaji ,angalia wenzetu mbona wameweza miji midogo kibao nenda hapo kenya tu.
 
Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia vitu kama hivyo mikoa ambayo haijajengeka.

Ninacho fahaamu kwa dunia ya sasa mpaka upate kiongozi wa nchi anaye toka mkoani kwako ndo utaona mabadiliko makubwa otherwise utasikiaga tu kwajilani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
 
Back
Top Bottom