Serikali kwanini isijenge majengo mazuri mikoa au wilaya kuliko kuyajaza mikoa iliyojengeka kama Dar, Pwani, Arusha, Dodoma?

Il hii nchi inashida sana, watu zaidi ya milioni 60 ila waliokuwa civiliesz ni wachace sana
 
Serikali haijengi majengo kwa sababu hayapo bali mahitaji ya kibiashara. Ujenge jengo la ghoroma 20 Lindi litarudishaje hela.
 
Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia vitu kama hivyo mikoa ambayo haijajengeka.

Hailipi kufanya hivyo
 
Office gani ambayo haihusiani na mambo ya biashara?ikulu yenyewe ipo kwa ajili ya kusimamia biashara za nchi.
Afu nani kakwambia ikulu inasimamia biashara za nchi? Ndo mlifundiswa hivyo mashuleni? Wakati dunia nzima inajua Ikulu is the official residence of the president .[emoji51][emoji856][emoji36]
 
Unaelewa maana ya kusimamia na kufanya biashara? Acha kukulupuka[emoji857]
Mimi kuelewa maana ya kufanya biashara ama kutofanya sio hoja , ishu ni kwamba kila jengo unaloliona linahusiana na biashara kwa namna moja ama nyingine.
 
Afu nani kakwambia ikulu inasimamia biashara za nchi? Ndo mlifundiswa hivyo mashuleni? Wakati dunia nzima inajua Ikulu is the official residence of the president .[emoji51][emoji856][emoji36]

Hapo ikulu kuna ofisi kibao , unadhani zinashughulika na nini au zote analala raisi.
-wawekezaji wakija mazungumzo hufanyika wapi?
-Tunapomchagua rais tunamchagua kwa sababu gani, akaishi ikulu?
-Unaniuliza nani kaniambia, una uhakika kila kitu ninachokijua nimeambiwa?au hata jinsi ya kuuliza maswali huwezi.
-Una uhakika gani mi nilikwenda shule au ndo unakurupuka.
 
Unaelewa maana ya kusema ikulu kuna office kibao? Bado ujaacha bangi? Ikulu siyo mahara pakuweka hofisi kibao kwasababu ya kiusalama
Kwakulejea alicho sema baba wa taifa(IKULU ni mahala patakatifu)[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Usitake kuonekana zoba wewe acha bangi ikulu siyo sehemu za biashara.
 
Mimi kuelewa maana ya kufanya biashara ama kutofanya sio hoja , ishu ni kwamba kila jengo unaloliona linahusiana na biashara kwa namna moja ama nyingine.
Hivi unawelewa kwanza maana ya biashara?.
Au wewe nimkulima unaforce mambo?.
 
Unaelewa maana ya kusema ikulu kuna office kibao? Bado ujaacha bangi? Ikulu siyo mahara pakuweka hofisi kibao kwasababu ya kiusalama
Kwakulejea alicho sema baba wa taifa(IKULU ni mahala patakatifu)[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Usitake kuonekana zoba wewe acha bangi ikulu siyo sehemu za biashara.
Unajua kusoma kwa ufahamu kweli?Nionyeshe sehemu niliyosema ikulu ni sehemu ya biashara.
 
Hivi unawelewa kwanza maana ya biashara?.
Au wewe nimkulima unaforce mambo?.
Kuna mkulima anayefanya kilimo biashara huyo ni mfanyabiashara na ni mkulima pia, na mkulima anaelima kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya nyumbani huyo si mfanya biashara au we ukulima unauchukuliaje.
 
Unajua kusoma kwa ufahamu kweli?Nionyeshe sehemu niliyosema ikulu ni sehemu ya biashara.
Ulisema office gani haiusiani na mambo ya biashara ukaja ukasema ata ikulu yenyewe ipo kwa ajili ya kusimamia biashara za nchi(apo ukiifanya ikulu ni sehemu ya biashara).
Achaaa kubishana na vitu vya kijinga wewe ikulu haiwezi kusimamia mambo ua biashara.
Screenshot_20240414-235933.jpg
 
Ulisema office gani haiusiani na mambo ya biashara ukaja ukasema ata ikulu yenyewe ipo kwa ajili ya kusimamia biashara za nchi(apo ukiifanya ikulu ni sehemu ya biashara).
Achaaa kubishana na vitu vya kijinga wewe ikulu haiwezi kusimamia mambo ua biashara.View attachment 2963964
-Nimekuuliza wawekezaji wakija au watu wa worldbank hukutana wapi na rais
-Maamuzi ya kiuwekezaji hutokea wapi.
-Sheria na sera za nchi za kuendesha biashara mbalimbali husainiwa wapi.
-rais anapokwenda nje kutafuta wawekezaji hutokea wapi?
-Serikali inapopanga bei ya bidhaa mfano sukari ama mafuta hayo maamuzi hutokea wap.
-Serikali inafanya biashara mbalimbali na mataifa mengine, hiyo mipango na maamuzi hutokea wap
 
Back
Top Bottom