ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Baada ya kujenga, majengo hayo yatatumika kama ilivyokusudiwa?Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na dar hivyo wageni wakishuka dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama lindi pia panafikika kirahisi au mfano singida na dodoma iko karibu kwanini tusijenge pia vitu kama hivyo mikoa ambayo haijajengeka.
Akili za kimagufuli hizi, Airport Chato wanaanikia mahindi sasa hivi.Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia vitu kama hivyo mikoa ambayo haijajengeka.
Nasemea majengo yaliyokusudiwa kama kumbi za kimataifa. Mfano kwanini badala labda kumbi ya mkutano likajengwa dodoma basi isogezwe hata singida na penyewe paonekane maana kama ni mkutano lazima watakuja tu.Baada ya kujenga, majengo hayo yatatumika kama ilivyokusudiwa?
Nenda pale rahaleo Mtwara ukaone majengo yaliyomalizika jinsi yalivyo wazi na hayana cha kufanyia. Majengo hujengwa sambamba na shughuri za kiuchumi za mkoa husika. Mfano tu, majengo ya TRA yaliyopo Chato, eneo lile lina uchumi wa kusababuisha majengo yale kutumika ilivyodhaniwa?
Mnawaza mpate pesa za perdiem na safari,Nasemea majengo yaliyokusudiwa kama kumbi za kimataifa. Mfano kwanini badala labda kumbi ya mkutano likajengwa dodoma basi isogezwe hata singida na penyewe paonekane maana kama ni mkutano lazima watakuja tu.
Huwa unatafalari lakini ? Ukumbi mikutano kimataifa au ya vicoba? Lazima viwanja ndege international....hoteks 5stars ziwepo ....facility zote muhimu ....Simgida otajengwa na watu binafsi kumbi harusi mikutano za kawaida...guess lodge hotel 3stars inatosha plus viwanda mafita alizeti ....etcNasemea majengo yaliyokusudiwa kama kumbi za kimataifa. Mfano kwanini badala labda kumbi ya mkutano likajengwa dodoma basi isogezwe hata singida na penyewe paonekane maana kama ni mkutano lazima watakuja tu.
Mkutano hufanyii popote kisa tu pana ukumbi. Sehemu ya kufanyia mkutano hutegemea mkutano unahusu nini, wahusika wa mkutano ni akina nani, idadi wa wahusika wa mkutano, huduma muhimu za kusapoti mkutano, gharama za mkutano etc..!! We mkutano wa kilimo cha korosho ukaufanyie Mwanza badala ya Mtwara..!!??Nasemea majengo yaliyokusudiwa kama kumbi za kimataifa. Mfano kwanini badala labda kumbi ya mkutano likajengwa dodoma basi isogezwe hata singida na penyewe paonekane maana kama ni mkutano lazima watakuja tu.
Kwahiyo, kwako, huko mikoani kusijengwe majengo hayo kisa KUNA WATU WATAKUJA KUITAMBIA DAR?? Hukupaswa kutoa hoja isiyo na mshiko kama hii..!!Alafu wakijenga munakuja na Post, Dar hakuna jengo kama hili, miaka kadhaa tunaipiku Dar nk
Hiyo sio point kama ,kama unabisha nenda kuna miiji kama mkoa una watu laki 6 tu una majengo makubwa ,Kigoma yenye watu million karibia mbili haina hiyo kitu.Baada ya kujenga, majengo hayo yatatumika kama ilivyokusudiwa?
Nenda pale rahaleo Mtwara ukaone majengo yaliyomalizika jinsi yalivyo wazi na hayana cha kufanyia. Majengo hujengwa sambamba na shughuri za kiuchumi za mkoa husika. Mfano tu, majengo ya TRA yaliyopo Chato, eneo lile lina uchumi wa kusababuisha majengo yale kutumika ilivyodhaniwa?
AyaKwahiyo, kwako, huko mikoani kusijengwe majengo hayo kisa KUNA WATU WATAKUJA KUITAMBIA DAR?? Hukupaswa kutoa hoja isiyo na mshiko kama hii..!!
Hiyo ni shughuli ya sekta binafsiNasemea majengo yaliyokusudiwa kama kumbi za kimataifa. Mfano kwanini badala labda kumbi ya mkutano likajengwa dodoma basi isogezwe hata singida na penyewe paonekane maana kama ni mkutano lazima watakuja tu.
Jengo refu linahitaji kuwa na lift je mapato ya halmashauri zina uwezo wa kifedha hata za kulipa huo umeme wa kuendesha lift ?Nakuunga mkono ,wafanye angalau kila jengo la halmashauri liwe refu.
Unailinganisha Tanzania na Asia..!! Haya nduguHiyo sio point kama ,kama unabisha nenda kuna miiji kama mkoa una watu laki 6 tu una majengo makubwa ,Kigoma yenye watu million karibia mbili haina hiyo kitu.
Katafute nchi za Asia na Europe uone.
Wapangishaji ,angalia wenzetu mbona wameweza miji midogo kibao nenda hapo kenya tu.Jengo refu linahitaji kuwa na lift je mapato ya halmashauri zina uwezo wa kifedha hata za kulipa huo umeme wa kuendesha lift ?
Majengo marefu hujengwa eneo lenye shida ya ardhi
Singida kuna shida ya Ardhi kama Dar na Arusha? Hadi yajengwe Maghorofa marefu?
Wafanyakazi wenyewe wa halmashauri wako wangapi hadi wahitaji jengo refu la ghorofa?
Lazima ulinganishe na nchi kubwa ili ujifunze.[emoji102]Unailinganisha Tanzania na Asia..!! Haya ndugu
Ninacho fahaamu kwa dunia ya sasa mpaka upate kiongozi wa nchi anaye toka mkoani kwako ndo utaona mabadiliko makubwa otherwise utasikiaga tu kwajilani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].Kwa sababu uzuri mikoa hiyo iko karibu na Dar hivyo wageni wakishuka Dar ni rahisi kuifikia Kwa mfano likajengwa tower pale Kilwa kuna athari gani ilihali wageni wangependa pia kutembelea mji wa Kilwa ama Lindi pia panafikika kirahisi au mfano Singida na Dodoma iko karibu, kwanini tusijenge pia vitu kama hivyo mikoa ambayo haijajengeka.