Serikali lawamani kuruhusu Mkusanyiko wa Maelfu kwenye Kilimanjaro Marathon wakati Taifa linapambana na Virusi vya Korona

Mbona rangi zenyewe kama za watani wa jadi, mikia fc na mabingwa kihishoria, vinginevyo lete vielelezo zaidi tukuelewe
 

Tatizo moja tulilonalo watanzania, huwa tukiwaza korona tunafikiria mtu mmoja mmoja huwa hatuwazi hatari ya huyo mtu mmoja kwa wengine.

Mtu mmoja akiibeba korona, akirudi kijijini kwake anaenda kuambukiza wazee wasio na hatia huko.

Usiwaangalie washiriki, hao hata wakifa hawana hasara maana ni wajinga. Waangalie wale ambao hao washiriki watawapelekea virusi hivyo

Hapo ndipo serikali inapopaswa kuingilia kati ili kukata chains za maambukizi!.

Hilo tamasha lina baraka na vibali vyote vya serikali, na Jukumu la kwanza la kikatiba la Raisi ni kulinda watu wake. Hii mikusanyiko ilipaswa isitishwe kipindi hiki
 
Tatizo moja tulilonalo watanzania, huwa tukiwaza korona tunafikiria mtu mmoja mmoja huwa hatuwazi hatari ya huyo mtu mmoja kwa wengine...
Shida ya Mtanzania no mbinafsi na anaangalia maslahi yake tu, tena anaona ndio mzalendo wa kweli
 
Shida ya Mtanzania no mbinafsi na anaangalia maslahi yake tu, tena anaona ndio mzalendo wa kweli
Yes!
Ubinafsi mbaya sana, mtu haangalii kuwa uwepo wake kwenye hiyo hadhara hata kama yeye haogopi au hajali kuhusu korona lakini anaweza kuibeba na kuipeleka kwingine
 
Hakuna aliyelazimishwa...watu wazima wenye akili na utashi!
Sponsors pia wapo liable!
Ifike mahali afya binafsi iwe jukumu binafsi siyo jukumu la serikali haswa katika kipindi kama hiki cha mlipuko.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wewe ndio mpumbavu.

SISI TANZANIA TUNA LINDWA NA MUNGU.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Ukipata kirusi haiwi tena tishio kwako binafsi, bali unahatarisha maisha ya wengine ambao unaweza kuwaambukiza wakiwemo watoto na wazee wasiojiweza!
 
πŸ‘ŠπŸ‘Š
 
πŸ‘ŠπŸ‘Š
 
... mlipuko wa maradhi haupaswi kuwa suala binafsi; ni suala la kitaifa! Endapo wataambukizana hapo, haiishii kwa washiriki tu; bali kila mshiriki ana nafasi ya kwenda kuambukiza hata wasiohusika na hayo mashindano huko aendako. Maelfu ya wasio washiriki wanaenda kuambukizwa na wengine kufa simply kutokana na kusanyiko hilo ambalo unasema "hakuna aliyelazimishwa" ...
 
Hivi corona ndio karata pekee iliyobaki huko chadema.

Tokea muanze hadithi za corona mpaka leo tungekuwa tumeisha.

Magufuli shikilia hapo hapo corona ni wizi wa kidunia unaofanyiwa promo kupitia media kubwa
 
Naanza kuamini kuwa IQ yetu labda ni ndogo sana.

Watu wazima na akili zao wanaruhusu, na wengine wanashiriki mkusanyiko kwenye nyakati za hatari namna hii, huu siyo ujinga ni upumbavu

Mkuu tatizo ni serikali.

Kote mambo kama haya yanauwa enforced. Hata Marekani kama kila kitu kikaachwa bwerere kila mtu na lwake, itakuwa hivi hivi.

Usisahau kuna ujinga na kujikatia tamaa na maisha pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…