Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wangu hapa naona Serikali tutaionea bure. Tunajua kabisa Head wa Serikali msimamo wake kuhusu Corona ulivyo, haamini kama ni Dangerous ki hivyo. Hapa ilikua tupambane tu sisis wenyewe.
Hapa cha kujiuliza ni kua sie wenyewe wakimbiaji tunakubalije kujichanganya namna hii? Hatujui kama Huu Ugonjwa ni hatari?
Shida ya Mtanzania no mbinafsi na anaangalia maslahi yake tu, tena anaona ndio mzalendo wa kweliTatizo moja tulilonalo watanzania, huwa tukiwaza korona tunafikiria mtu mmoja mmoja huwa hatuwazi hatari ya huyo mtu mmoja kwa wengine...
Yes!Shida ya Mtanzania no mbinafsi na anaangalia maslahi yake tu, tena anaona ndio mzalendo wa kweli
Hujamuona Mwenyekiti wa CCM mkoa kashika barakoa mkononi?Watanzania ni wabishi sana!
Halafu kuna kajamaa kana bendera ya Chadema.
Bwashee watanzania ni shida!Hujamuona Mwenyekiti wa CCM mkoa kashika barakoa mkononi?
Wewe ndio mpumbavu.Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua.
Mkusanyiko wa mahali hapo ulikuwa ni mkubwa kiasi kwamba kaa kuna wstu wana virusi vya korona basi huenda kukawepo na usambazaji wa virusi kwa kiwango cha kutisha.
Katika mazingira kama haya, serikali inaruhusuje mikusanyiko kama hii?
Je kufanya hivyo siyo kuhatarisha usalama wa Nchi?.
Maana hawa watu wanatoka kila kona ya nchi, Je namna hii siyo kusambaza virusi kwa kasi ya kutisha?
Serikali hii ndo inasema kuwaambia wananchi wafuate maelekezo ya wataalamu, lakini wakati huohuo inabariki na kusaidia kuwezesha mambo yote ambayo wataalamu wanashauri yasifanywe!
Leo kwenye mashindano hayo ya Kilimanjaro Marathon alikuwepo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mama Mgwitra katikati ya msitu wa watu ambao hawajavaa barakoa waa kuweka social distance maana ni vigumu katika mkusanyiko huo kuweka hiyo social distance!
Kwa kweli inasikitisha, kuona serikali inajaribu kujifanya kuwa hili tatizo ni la mtu binafsi na si la Taifa kwa ujumla wake, otherwise niambieni kwa nini serikali inaruhusu miusanyiko kama hii inayoweza kupelekea usambaaji wa kirusi kuwa wakutisha? - Serikali inataka kuachieve nini?
Wananchi wanakufa kwa "changamoto", Tunawazika, na tunaendelea kushuhudia hii hali kila kukicha, mbona basi mamlaka zetu zinajaribu kujifanya kuwa hili tatizo siyo big deal hadi kuruhusu mikusanyiko kama hii?
Hii ni aibu kubwa kwa raisi Magufuli, Waziri wa Michezo, Waziri wa Utalii na serikali nzima ya Mkoa wa Kilimanjaro, Waandaaji na Washiriki wote wasiochukulia tatizo hili kwa uzito wake, Ni aibu kubwa na kutokujali kwa kiwango cha juu kupitiliza! :
Hebu Tazama hili nyomi katikati ya Pandemic, hivi sis tuko serious!
View attachment 1714194
View attachment 1714189
View attachment 1714196
Ukipata kirusi haiwi tena tishio kwako binafsi, bali unahatarisha maisha ya wengine ambao unaweza kuwaambukiza wakiwemo watoto na wazee wasiojiweza!Hakuna aliyelazimishwa...watu wazima wenye akili na utashi!
Sponsors pia wapo liable!
Ifike mahali afya binafsi iwe jukumu binafsi siyo jukumu la serikali haswa katika kipindi kama hiki cha mlipuko.
Everyday is Saturday............................... 😎
👊👊Ila watanzania na sisi tunastahili lawama kwa kiwango cha juu vilevile, haiwezekani pamoja na taarifa zote kuhusu Corona zilizosambaa kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari japo huko wanaita nimonia, bado kuna watu hawachukui tahadhari mpaka leo.
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana dunia nzima inatushangaa, hii Corona inatufanya tugeuke kivutio cha watalii kwa namna tunavyo deal nayo, bado tupo zama za old stone age kabisa.
👊👊Ila watanzania na sisi tunastahili lawama kwa kiwango cha juu vilevile, haiwezekani pamoja na taarifa zote kuhusu Corona zilizosambaa kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari japo huko wanaita nimonia, bado kuna watu hawachukui tahadhari mpaka leo.
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana dunia nzima inatushangaa, hii Corona inatufanya tugeuke kivutio cha watalii kwa namna tunavyo deal nayo, bado tupo zama za old stone age kabisa.
... mlipuko wa maradhi haupaswi kuwa suala binafsi; ni suala la kitaifa! Endapo wataambukizana hapo, haiishii kwa washiriki tu; bali kila mshiriki ana nafasi ya kwenda kuambukiza hata wasiohusika na hayo mashindano huko aendako. Maelfu ya wasio washiriki wanaenda kuambukizwa na wengine kufa simply kutokana na kusanyiko hilo ambalo unasema "hakuna aliyelazimishwa" ...Hakuna aliyelazimishwa...watu wazima wenye akili na utashi!
Sponsors pia wapo liable!
Ifike mahali afya binafsi iwe jukumu binafsi siyo jukumu la serikali haswa katika kipindi kama hiki cha mlipuko.
Everyday is Saturday............................... 😎
Yangekufa yenyewe nisingejali, tatizo yanakwenda kusambaza virusi katika sehemu yalipotoka!Kigogo@2014 anasema acha yafe makima!
Naanza kuamini kuwa IQ yetu labda ni ndogo sana.
Watu wazima na akili zao wanaruhusu, na wengine wanashiriki mkusanyiko kwenye nyakati za hatari namna hii, huu siyo ujinga ni upumbavu