Hapo usishangae baada ya wiki mbili tukaaanza kuimba ule wimbo wa tumpeleke tumpelekeWatu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua....
Tatizo hapa kwetu kila mtu ni mjuaji hivyo kutufanya kuwa wabishiIla watanzania tunastahili lawama kwa kiwango cha juu sana, haiwezekani pamoja na taarifa zote kuhusu Corona zinazosambaa kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari japo huko wanaita "nimonia", bado kuna watu hawachukui tahadhari mpaka leo...
Kuna sehemu hapajakaa sawa na hili tutakuja kujilaumu sana baadaeNdio uwezo wetu wa kufikiri na kujiamulia ulipofikia!
Kuna watu nawaheshimu sana tena baadhi ni madaktari wa binadamu wamesafiri all the way kutoka dar na kwingineko ili wakasongamane!
Kila mtu na apambane na hali yake!
Upo sahihi sanaTuandae tu mazingira mazuri katika hospitali zetu kupokea wagonjwa zaidi..
Wa kiwango cha SGRNaanza kuamini kuwa IQ yetu labda ni ndogo sana.
Watu wazima na akili zao wanaruhusu, na wengine wanashiriki mkusanyiko kwenye nyakati za hatari namna hii, huu siyo ujinga ni upumbavu
IdiotWatanzania ni wabishi sana!
Halafu kuna kajamaa kana bendera ya Chadema.
So mtu mzima anayejua kuna kirusi kinaua unasubiri serikali hii hii ya mawaziri wa tangawizi na malimao na season za nyungu iwahangaikie!Ukipata kirusi haiwi tena tishio kwako binafsi, bali unahatarisha maisha ya wengine ambao unaweza kuwaambukiza wakiwemo watoto na wazee wasiojiweza!
hiyo ndiyo shidaYangekufa yenyewe nisingejali, tatizo yanakwenda kusambaza virusi katika sehemu yalipotoka!
Kiboko yako Halima James Mdee!Idiot
Ni kweli hata mtoto wa mwenyekiti wa Chadema alitibiwa Muhimbili akapona!Upo sahihi sana
Tuliomba Mungu kwa siku 3. Wala tusiwe na wasiwasi. Corona haipati kitu hapa!Ila watanzania tunastahili lawama kwa kiwango cha juu sana, haiwezekani pamoja na taarifa zote kuhusu Corona zinazosambaa kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari japo huko wanaita "nimonia", bado kuna watu hawachukui tahadhari mpaka leo....
Huu ni uthibitisho kuwa hakuna corona kivile!! Viwanja vya mpira vinajaa kila weekend!! Kwenye dala dala hakuna cha siti levo! Sokoni ndio usiseme!! Mashuleni, vyuoni!! Kama tungekuwa na corona yenyewe, ndani ya wiki moja pasingekalika!! Vifo havifichiki!! Vifo tunavyoshuhudia ni vya kawaida. Hakuna muda wowote usiokuwa na vifo!!Ila watanzania tunastahili lawama kwa kiwango cha juu sana, haiwezekani pamoja na taarifa zote kuhusu Corona zinazosambaa kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari japo huko wanaita "nimonia", bado kuna watu hawachukui tahadhari mpaka leo...
Sahihi kabisa Kaka.Tatizo moja tulilonalo watanzania, huwa tukiwaza korona tunafikiria mtu mmoja mmoja huwa hatuwazi hatari ya huyo mtu mmoja kwa wengine....
Kako wapi ?Watanzania ni wabishi sana!
Halafu kuna kajamaa kana bendera ya Chadema.
Hujakaona hapo pembeni ya nguzo ya kuanzia mbio?Kako wapi ?
Jifungie wewe na familia yako kama unataka!! Hapo hakuna wa kukuambukiza !. Kuna aliyekuzuia kujiwekea lockdown?? Watanzania wengi ni wanafiki!! Utaikuta mtu anailalamikia serikali lakini mwenyewe hana hata habari ya barakoa!!Tatizo moja tulilonalo watanzania, huwa tukiwaza korona tunafikiria mtu mmoja mmoja huwa hatuwazi hatari ya huyo mtu mmoja kwa wengine...
Dua, Maombi na Nyungu zinafanya kazi
www.nytimes.com › style › the-psyc...
THE PSYCHOLOGY OF THE CULT EXPERIENCE - The New York Times
15 Mar 1982 — Dr. Cath defined a cult as a group of people joined together by a common ideological system fostered by a charismatic leader, where, he said, ''the expectation is that they can transcend the imperfections and finitude of life. '' He said: ''Often they set up a we-they philosophy: We have the truth and you do not
Na imeandikwa, usimjaribu Mungu wako.Hivi mpaka leo Kuna watu wanaamin barakoa zinasaidia eeh
Me nawashaur tu ikiwezekana hameni nchi nenden huko wanakoo vaa hizo barakoa na hawana misongamano
Kwa usalama wenu zaidi
Yaan tatizo watu hatuna shukran tunaangalia upinzan tu anayetupony corona ni MUNGU sio hizo barakoa