Serikali lawamani kuruhusu Mkusanyiko wa Maelfu kwenye Kilimanjaro Marathon wakati Taifa linapambana na Virusi vya Korona

Kinachowezwa kuzuiwa ni mikutano ya Siasa hata kama ni watu watano tu! Aliyeturoga sijui alipotelea wapi!?
 
Kuna Tanzania mbili kwa sasa
Tanzania ya mitandao ya kijamii ambayo inaongozwa na Jamii forums n.k na

Tanzania ya watanzania ambao ndo kama unaowaona kwenye mikusanyiko.

Usilazimishe kila mtu aamini unachoamini wewe
Chukua hatua kwa manufaa yako binafsi na familia yako
 
Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua...
Hawa wote waliokusanyika siyo watu kamilifu upstairs - ni MISUKULE!
 
Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua....
Kipimo cha ujinga wa wa-Tz ndicho hichi.
 
Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua...
Kwenye campaign za uchaguz mkuu mbona mlikuwa mnajaa kumsikiliza puppet wenu Lisu na mpaka Leo mpo hamjafa na CORONA na wala hamkulalamika wala kutoa lawama.Mlidhan mtapata nchi cio.Mmeula wa chuya.
 
Kulia(Kimkono) kwa mama Mgwira jamaa ni Bonge Nyanya na umri umeenda lakini hajionei huruma na mkusanyiko huo.
 
Mkuu,

Ukiwekwa kwenye hiyo 3% ufe leo, utasema ni ndogo bado?
 
Afu naona na wale wazee wenzangu wa 60+ wameji expose hawajui kuwa wao ni vipusa wa hili linyatia roho kwa njia ya kukaba pumzi.
 
Ila kwa upande mwingine washiriki nao wanastahili lawama
 
Kwenye campaign za uchaguz mkuu mbona mlikuwa mnajaa kumsikiliza puppet wenu Lisu na mpaka Leo mpo hamjafa na CORONA na wala hamkulalamika wala kutoa lawama.Mlidhan mtapata nchi cio.Mmeula wa chuya.
Wakati wa kampeni walizungumza lugha tofauti kwakua ilikua ikiongozwa na Amsterdam🙂
 
Wewe kama unaogopa jifungie ndani, sisi wengine tunatoka na Kidimbwi tunaenda.
 
Tatizo moja tulilonalo watanzania, huwa tukiwaza korona tunafikiria mtu mmoja mmoja huwa hatuwazi hatari ya huyo mtu mmoja kwa wengine...
Wafungiwe wazee sio watu wazima na afya zao kama mnaogopa sana.

Bdae tukutane Kidimbwi kupiga vyombo.
 
Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua...
Tulia watu waendelea na mambo yao! Corona siyo ugonjwa wa kutisha mtu kama wewe unaogopa jifungie ndani nyumbani kwako au kwenu utuacha sisi WANAUME wa kweli tuendelee na maisha yetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…