Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Ujinga ni mtaji...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Tanzania mbili kwa sasaIla watanzania tunastahili lawama kwa kiwango cha juu sana, haiwezekani pamoja na taarifa zote kuhusu Corona zinazosambaa kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari japo huko wanaita "nimonia", bado kuna watu hawachukui tahadhari mpaka leo.
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana dunia nzima inatushangaa, hii Corona inatufanya tugeuke kivutio cha watalii kwa namna tunavyo deal nayo, bado tupo zama za old stone age kabisa.
Hawa wote waliokusanyika siyo watu kamilifu upstairs - ni MISUKULE!Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua...
Kipimo cha ujinga wa wa-Tz ndicho hichi.Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua....
Moshi mortuary zimejaa mkuu!Tuandae tu mazingira mazuri katika hospitali zetu kupokea wagonjwa zaidi..
Kwenye campaign za uchaguz mkuu mbona mlikuwa mnajaa kumsikiliza puppet wenu Lisu na mpaka Leo mpo hamjafa na CORONA na wala hamkulalamika wala kutoa lawama.Mlidhan mtapata nchi cio.Mmeula wa chuya.Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua...
Kulia(Kimkono) kwa mama Mgwira jamaa ni Bonge Nyanya na umri umeenda lakini hajionei huruma na mkusanyiko huo.Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua...
Mkuu,Covid sio ugonjwa hatari, umekuwa overated, nimeugua huu ugonjwa mara 2 na sasa nahisi naumwa corona nasubiria tu harufu ikate nianze dose. Mara zote 2 sikunywa dawa yyt na nimepona. Death rate ni asilimia 3 ya waathirika wote hivo 3% ni ndogo sanaView attachment 1714198
Wakati wa kampeni walizungumza lugha tofauti kwakua ilikua ikiongozwa na Amsterdam🙂Kwenye campaign za uchaguz mkuu mbona mlikuwa mnajaa kumsikiliza puppet wenu Lisu na mpaka Leo mpo hamjafa na CORONA na wala hamkulalamika wala kutoa lawama.Mlidhan mtapata nchi cio.Mmeula wa chuya.
Wafungiwe wazee sio watu wazima na afya zao kama mnaogopa sana.Tatizo moja tulilonalo watanzania, huwa tukiwaza korona tunafikiria mtu mmoja mmoja huwa hatuwazi hatari ya huyo mtu mmoja kwa wengine...
Tulia watu waendelea na mambo yao! Corona siyo ugonjwa wa kutisha mtu kama wewe unaogopa jifungie ndani nyumbani kwako au kwenu utuacha sisi WANAUME wa kweli tuendelee na maisha yetu!!Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao walizivaa na kuzivua...