Serikali: Magari chini ya mwaka 2010 yasiingizwe nchini

kuna nissan xtrail model ya 2008 ile gari ni mkasi sana alafu bei mil15+ yani ile gari ndio imeanza kuingia alafu nayo ipigwe block kweli!!!
Ile tuu ambayo inaonekana ya kisasa imepigwa block sasa tununue ipi?
 
TZ tuna magari ya zamani sana ambayo ukiagiza mtu unasema nimenunua gari mpya. Gari ya mwaka 2000 ni Gari ya miaka 20 iliyopita. Yaani mwanao keshabalehe mda tu na ana ndevu ila ndo gari zetu tunazozisifia. Umasikini mbaya sana.

Seikali ipunguze kodi angalau watu wanunue gari za 2010 kwenda mbele.
 
Hebu niambie hizo gari mbili za juu zimeishia kutengenezwa mwaka gani?
 
Tumechelewa sana kuzuia nchi yetu kuwa jaa la mali chakavu.

Hapo Kenya tu uamuzi kama huu waliufanya kitambo sana na maisha yanasonga.

Kama kipato chako hakijafikia ngazi ya kununua gari, chukua chombo cha usafiri unachokimudu!

Kenya kuna kuna Kampuni wanajiita import by kairo.

Nikiangalia vyuma wanavyoingia ni hatari.

Yaani ni 2014 kuja juu.
 
Hivi hii serikali inajua aina ya watu wanaowaongoza au ndio kukurupuka.
 
Mimi nna mpango wa kuagiza la 1999
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…