Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Wakifanya hivyo washushe na kodi za TRA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile tuu ambayo inaonekana ya kisasa imepigwa block sasa tununue ipi?kuna nissan xtrail model ya 2008 ile gari ni mkasi sana alafu bei mil15+ yani ile gari ndio imeanza kuingia alafu nayo ipigwe block kweli!!!
Wanakurupuka sana hawa waliopewa dhamana na wananchi.Hahahaha. Yaani mafisadi wamerudi wanajua wote Tuna pesa. Yaani Bora tumerudishwa tu loo inkamu kantri. Hivyo na magari wasilete hizo Sheria ni za Mido inkamu kantri.
Hapo kajichanganya tena vibaya mno.Kwa kifupi katelephone amechijanganya Happ ajui anawaza nn naona amataka kuziba mapato tya kampuni hii
Hebu niambie hizo gari mbili za juu zimeishia kutengenezwa mwaka gani?Hii kauli tunaweza kuichukulia poa lakini Kuna magari ya maana sana Hatutayaona tena yakiingizwa Nchini..
Haya yafuatayoView attachment 2181908View attachment 2181909View attachment 2181911View attachment 2181913View attachment 2181914View attachment 2181915
Magari Yoote haya yametengenezwa 2009 kurudi nyuma....
Siyo rahisi kutekelezeka kwa hyo kauli...
Sijui kama wanamaanisha kweli walichokisema
Tumechelewa sana kuzuia nchi yetu kuwa jaa la mali chakavu.
Hapo Kenya tu uamuzi kama huu waliufanya kitambo sana na maisha yanasonga.
Kama kipato chako hakijafikia ngazi ya kununua gari, chukua chombo cha usafiri unachokimudu!
SikwambiiHebu niambie hizo gari mbili za juu zimeishia kutengenezwa mwaka gani?
sawaSikwambii
Mwenyewe huwa kauli za huyu boya huwaga nazionaga haziwagi sheria. Ni uropokaji tuKama kaisema huyo baba hiyo kauli basi msiwe na hofu hasemagi ukweli huyo.
Hilo si litakuwa screpa kiongozi!Mimi nna mpango wa kuagiza la 1999
Chuma mpya kabisaHilo si litakuwa screpa kiongozi!