Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Huyu Wa Kudemka Wahuni Wanampotosha SanaHapa tumepigwa na kitu kizito kwa kweli🙄🙄😫😫
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Wa Kudemka Wahuni Wanampotosha SanaHapa tumepigwa na kitu kizito kwa kweli🙄🙄😫😫
Kwamba hivyo viwanda vingekuwa Tanzania, kodi ingepungua?Uchumi huo bado hatujaufikia na bado hawana mbadala wa kutuuzia/kukopesha gari mpya na hizo used za 2010...
Kwamba hivyo viwanda vingekuwa Tanzania, kodi ingepungua?
Huijui hii serikali.
Haitapotea ila tu bei yake itaimarika zaidi😅Ist itapotea sokoni
Nani anunue 21 au 25m gari ndogo kama hiiHaitapotea ila tu bei yake itaimarika zaidi[emoji28]
Utakapowasili sheli ndio utaelewa kwanini mtu atakuwa radhi kununua IST mkononi kwa bei ya 13M bila kujali ni namba gani!Nani anunue 21 au 25m gari ndogo kama hii
kuna za 2000 na 2002 road tourer...App ya JF haifungui kiambatanisho lakini ingependeza magari ya kuanzia mwaka 2000.yaani miaka 20.noah old model ni 1998.
asilimia 90+Magari asilimia 80+ ni ya 2009 kushuka chini ha ha agiza crown ya 2011 [emoji1787][emoji1787]
usikate tamaa,utanunua hapahapa bongo,hata ya mkononi mkuu.Ko ndoto zangu za kumiliko chuma ndo zinayoyoma
[emoji26][emoji26][emoji26]
Mmmhusikate tamaa,utanunua hapahapa bongo,hata ya mkononi mkuu.