Serikali: Magari chini ya mwaka 2010 yasiingizwe nchini

Serikali: Magari chini ya mwaka 2010 yasiingizwe nchini

App ya JF haifungui kiambatanisho lakini ingependeza magari ya kuanzia mwaka 2000.yaani miaka 20.noah old model ni 1998.
kuna za 2000 na 2002 road tourer...
IMG_20220309_175056.jpg
 
Nafikiri ndivyo ilivyo Kadiri gari inayoagizwa inavyokuwa ya Zamani na Kodi yake inakuwa kubwa.

Sasa hii Limit Ya Mh.Kasimu Inaenda Kuwaumiza WaTz sana.! Wengi Pesa za Kudunduliza ataweza Wapi kununua Gari Kisu cha 2017..?
Duh...Walala hoi Kazi tunayo...!
 
Back
Top Bottom