Serikali: Majaji wateule kuapishwa Mei 17, Wakuu wa Mikoa Mei 19

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa ya serikali ya Tanzania iliyosambazwa kwa vyombo vya habari .

Shughuli hizo zitafanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete .

Instagram_post_by_Swahili_Times_•_May_16,_2021_at_9:30am_UTC%22_.jpg
 
Raisi Samia kama ikikupendeza naomba mteue dada yetu Erythrocyte kuwa mpashaji habari wa serikali yako ambayo haina ubaguzi wa chama, dini wala kabila. Huyu dada yupo smart sana ukimlinganisha na wengine. Hajawahi kumtukana mtu wala kuandika comment kwa jazba. Hayo ni mawazo yangu tu toka ndani ya moyo na kichwa changu.
 
Mkuu Naogopa sana kulogwa , maisha yangu kwa sehemu kubwa yamekuwa Ulaya na Marekani , kwahiyo mila za kubeba hirizi sikuwahi kuzipitia , sina chale hata moja
 
Hahahaha.. kwani kuwa msemaji wa serikali kuna uhusiano gani na ulozi? Au ulikuwa na maana nyingine mkuu?
 
Tunawatikia kila la heri.
watambue tu kuwa cheo ni dhamana.

ukifa huwezi kuzikwa na cheo chako hivyo hawana budi kutenda haki na kwa kujituma.
 
Back
Top Bottom