Serikali: Majaji wateule kuapishwa Mei 17, Wakuu wa Mikoa Mei 19

Ni jambo jema.

Wakuu wa wilaya Ijumaa.

Kinondoni, Same, Hai.....nk nk!
 
Hapo kwa wakuu wa mikoa tuna jambo letu tunaliweka sawa! Tunawashauri walioteuliwa suti wanunue jumatano asubuhi!
 
Raisi Samia kama ikikupendeza naomba mteue dada yetu Erythrocyte kuwa mpashaji habari wa serikali yako ambayo haina ubaguzi wa chama, dini wala kabila. Huyu dada yupo smart sana ukimlinganisha na wengine. Hajawahi kumtukana mtu wala kuandika comment kwa jazba. Hayo ni mawazo yangu tu toka ndani ya moyo na kichwa changu.
 
Mkuu Naogopa sana kulogwa , maisha yangu kwa sehemu kubwa yamekuwa Ulaya na Marekani , kwahiyo mila za kubeba hirizi sikuwahi kuzipitia , sina chale hata moja
 
Mkuu Naogopa sana kulogwa , maisha yangu kwa sehemu kubwa yamekuwa Ulaya na Marekani , kwahiyo mila za kubeba hirizi sikuwahi kuzipitia , sina chale hata moja
Hahahaha.. kwani kuwa msemaji wa serikali kuna uhusiano gani na ulozi? Au ulikuwa na maana nyingine mkuu?
 
Tunawatikia kila la heri.
watambue tu kuwa cheo ni dhamana.

ukifa huwezi kuzikwa na cheo chako hivyo hawana budi kutenda haki na kwa kujituma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…