nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Wanatutafuta!! Inaonekana ni wachokoziWamalawi naona wakati mwingine wanakosa kutumia akili ndogo tu, kweli ziwa lote liwe lao?
Kabisaa, wanatuona mazuzu tupo tupo tu!Inahitaji akili ndogo sana kujua malawi anatumika kutuchokoza...
Angekuwa na nia njema angefanya hivyo na kwa Msumbiji...
Sasa swali linakuja, malawi ametuona Tanzania ni wanyonge sana?
Kwamba ana uwezo wa kutuchokoza na tukireact anatubonda...
Wanyasa si unawaona hapo Mwananyamala unagundua Nini?Wamalawi naona wakati mwingine wanakosa kutumia akili ndogo tu, kweli ziwa lote liwe lao?
Hapa suluhisho ni sisi upande wetu maji tuyamwagie rangi ya kijani.Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.
Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa Ziwa na Malawi wanadai ndio mpaka halisi wakati Ramani za Tanzania zinassma mpaka uko katikati ya Ziwa kama ilivyo Msumbiji na kwenye mipaka mingine yote ya Maziwa tuliyonayo.
Ikumbukwe Malawi wanaita Ziwa Malawi na ndio linajukikana hivyo huko google lakini hapa Tanzania ni Ziwa Nyasa.
View: https://www.instagram.com/p/DD7DDWgNEYr/?igsh=MWRmdDYyNXU4cGpweg==View attachment 3183712
My Take
Malawi wakubaliane na mpaka mpya hakuna namna mpaka utakuwa mwambao wakati huko Mozambique mpaka uko katikati.
View attachment 3183715
Tungekua tume mu yu Ukraine kabisaaaKwa nchi ambazo zipo serious na mipaka Malawi sasa hivi amesha chezea kichapo...
For years hakukuaga na hizi choko choko miaka ya 2010's ndipo zikaanza kuibukaaagaaaKwani Mwalimu Nyerere alisemaje kuhusu huo mpaka?maana ye ndio final say
Kwani wewe unadhani hao wataalamu wa mambo ya nje hawajui kuwa mpaka haupo katikati ya ziwa?Wataalamu wa wizara ya mambo ya nje hawakuona google? Wakawaambie google wa update mpaka huo isije kukuza mzozo hapo baadaye
Ukweli wa hitimisho ya yale mazungumzo ya usuluhishi ikiwa Tanzania tulipoteza umiliki wa ziwa hautakuja kuambiwa popote na serikali, itabakia kuwa ni siri au subiri wakina Lissu kuja kutufichulia.Ina maana mgogoro huu ulipoibuka awamu ya nne na kumchagua Joachim Chisano kama msuruhishi, uamuzi wake ulitolewa kwa kificho? Kama hivyo ndivyo kwa nini wananchi hawakujulishwa kuwa mgogoro umeisha?
Google hawana makosa maana wanafuata mipaka ya kikoloni iliyowekwa na wajerumani/ waingeleza baada ya kuuziana vipande vya ardhi vya makoloni yao kwenye ule mkataba wa Heligoland ambao ulihusisha Malawi, Zanzibar, Heligoland na Namibia. Wamalawi wamesimamia hapo na ni haki yao maana mipaka ya kikoloni ndio iliyokubaliwa na OAU kuwa kipimo cha mipaka ya kila nchi inayojitawala.
Huu mgogoro ulipaswa kuamuliwa mapema baada ya uhuru, badała yake Nyerere akaamua kuunganisha Tanganyika na Zanzibar huku akijua kuwa mpaka wa Tanganyika kwenye ziwa nyasa ni ardhi yake sio katikati ya ziwa kama ilivyo kusini kwenye mpaka wa Malawi na Msumbiji....
Alaumiwe nani kama sio Nyerere na awamu zote zilizofuatia baada yake?
Safi sana kwa ili tamko.kutoka kwa Serikali yetu.Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.
Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa Ziwa na Malawi wanadai ndio mpaka halisi wakati Ramani za Tanzania zinassma mpaka uko katikati ya Ziwa kama ilivyo Msumbiji na kwenye mipaka mingine yote ya Maziwa tuliyonayo.
Ikumbukwe Malawi wanaita Ziwa Malawi na ndio linajukikana hivyo huko google lakini hapa Tanzania ni Ziwa Nyasa.
View: https://www.instagram.com/p/DD7DDWgNEYr/?igsh=MWRmdDYyNXU4cGpweg==View attachment 3183712
My Take
Malawi wakubaliane na mpaka mpya hakuna namna mpaka utakuwa mwambao wakati huko Mozambique mpaka uko katikati.
View attachment 3183715
Mnaanza kuikimbia dunia na Teknolojia?Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.
Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa Ziwa na Malawi wanadai ndio mpaka halisi wakati Ramani za Tanzania zinassma mpaka uko katikati ya Ziwa kama ilivyo Msumbiji na kwenye mipaka mingine yote ya Maziwa tuliyonayo.
Ikumbukwe Malawi wanaita Ziwa Malawi na ndio linajukikana hivyo huko google lakini hapa Tanzania ni Ziwa Nyasa.
View: https://www.instagram.com/p/DD7DDWgNEYr/?igsh=MWRmdDYyNXU4cGpweg==View attachment 3183712
My Take
Malawi wakubaliane na mpaka mpya hakuna namna mpaka utakuwa mwambao wakati huko Mozambique mpaka uko katikati.
View attachment 3183715
Mambo yote ya ziwa Nyasa yanatawaliwa na "International Riparian Law ya mwaka 1982"Kama mpaka upo nchi kavu na si kati kati ya maji, walete boat za kijeshi za doria ndani ya hilo eneo wanalodai ni lao.., au wazuie watz wasiguse hayo maji, halafu tutajua ukweli ni upi..
Huu ni mgogoro wa kidiplomasia ambao hautatuliwi kwa matamko kama tunavyoona huko chamani, Serikalini au kwenye mamlaka za kidola. Sidhani kama tuna wanadiplomasia wenye uwezo wa kujenga hoja, imebaki mabavu tu. Hebu fikiria, Malawi ni nchi ya kiafrika tena ndani ya SADC kama Tanzania bado tumeshindwa kukubaliana juu ya mipaka ya kikoloni.Ukweli wa hitimisho ya yale mazungumzo ya usuluhishi ikiwa Tanzania tulipoteza umiliki wa ziwa hautakuja kuambiwa popote na serikali, itabakia kuwa ni siri au subiri wakina Lissu kuja kutufichulia.
Na ikiwa mazungumzo yale yalizaa matunda mazuri kwa Tz ninakuhakikishia ungekuwa ndio wimbo wa serikali na CCM kila mahali.