GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Nyerere alikuwa amezama kwenye mahaba ya kuunganisha Tanganyika na Zanzibar.Kwani Mwalimu Nyerere alisemaje kuhusu huo mpaka?maana ye ndio final say
Tena inashangaza kuwa badala ya kukaa meza moja na Kamuzu Banda msomi kutoka Uingeleza kama yeye wakatatua mgogoro huu wa kikoloni, walianza kugombana wenyewe kwa wenyewe kiasi kwamba vita yetu ya kwanza kama nchi ilikuwa iwe na Malawi miaka ya 60/70