Nyerere alikuwa amezama kwenye mahaba ya kuunganisha Tanganyika na Zanzibar.Kwani Mwalimu Nyerere alisemaje kuhusu huo mpaka?maana ye ndio final say
Kipindi kile Membe alitaka kupeleka jeshi jk akamwekea kauzabeTungekua tume mu yu Ukraine kabisaaa
Ama tungekua tumesha mnetanyau kitambo maana Joyce Banda aliwai leta choko choko...
Membe camilius akawavaa na wakatulia tulii..
Ili Nchi Iendelee inatakiwa kuvamia na kufanya annexation ya Nchi nyingine.Ukweli wa hitimisho ya yale mazungumzo ya usuluhishi ikiwa Tanzania tulipoteza umiliki wa ziwa hautakuja kuambiwa popote na serikali, itabakia kuwa ni siri au subiri wakina Lissu kuja kutufichulia.
Na ikiwa mazungumzo yale yalizaa matunda mazuri kwa Tz ninakuhakikishia ungekuwa ndio wimbo wa serikali na CCM kila mahali.
Kwa mujibu wa mkoloni wako sahihi ila Kwa mujibu wa Tanzania huo mpaka haikubaliki.Kwani wewe unadhani hao wataalamu wa mambo ya nje hawajui kuwa mpaka haupo katikati ya ziwa?
Unafikiri Google wanabahatisha au wanasubiri waambiwe wapi mpaka upo?
Google wametumia facts zinazojulikana na kukubalika kimataifa kusema wapi mpaka ulipo.
Kwa nini alikuwa na mahaba ya kuunganisha Tanzania na Zanzibar na sio Tanzania na Malawi,alikuwa na manufaa gani kwenye hiko kipengele?Nyerere alikuwa amezama kwenye mahaba ya kuunganisha Tanganyika na Zanzibar.
Tena inashangaza kuwa badala ya kukaa meza moja na Kamuzu Banda msomi kutoka Uingeleza kama yeye wakatatua mgogoro huu wa kikoloni, walianza kugombana wenyewe kwa wenyewe kiasi kwamba vita yetu ya kwanza kama nchi ilikuwa iwe na Malawi miaka ya 60/70
Nani anaanzisha hizi chokochoko?kwani mipaka si iliwekwa tangu kwenue Berlin conference kumbe kuna namna inaweza kueditiwa?For years hakukuaga na hizi choko choko miaka ya 2010's ndipo zikaanza kuibukaaagaaa
Ndio maana kizazi kipya kinaanza kuhoji mambo yanayohusu masilahi ya umma yalivyoamuliwa kienyeji kwa kuamini wakati huo kuwa watu wengi walikuwa na elimu duni ya kuhoji na kung'amua ufisadi wa kidola.Kwa nini alikuwa na mahaba ya kuunganisha Tanzania na Zanzibar na sio Tanzania na Malawi,alikuwa na manufaa gani kwenye hiko kipengele?
Hapo mwisho ndio umeua...hamna kitu kinanishangaza kama ardhi yangu nimenunua,nailipia halafu naambiwa ni mali ya serikaliNdio maana kizazi kipya kinaanza kuhoji mambo yanayohusu masilahi ya umma yalivyoamuliwa kienyeji kwa kuamini wakati huo kuwa watu wengi walikuwa na elimu duni ya kuhoji na kung'amua ufisadi wa kidola.
Tuendako kadiri watu wanavyozidi kuelimika wataanza kuhoji na kufukua makaburi. Moja ya eneo litakaloleta shida ni huu umiliki wa ardhi unaonadi ardhi kuwa mali ya umma chini ya udhamini wa Rais.
Halafu ardhi hiyo hiyo unachimba zako kisima unakutana na mwamba wa dhahabu,ghafla unaambiwa na maafisa wa Serikali kuwa madini ni mali ya Serikali uondoke!?Hapo mwisho ndio umeua...hamna kitu kinanishangaza kama ardhi yangu nimenunua,nailipia halafu naambiwa ni mali ya serikali
Mpaka wa hapo kwenye ziwa ni KATIKATI ya maji kwa mujibu wa universal law . Kila la heri .Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi.
Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa Ziwa na Malawi wanadai ndio mpaka halisi wakati Ramani za Tanzania zinassma mpaka uko katikati ya Ziwa kama ilivyo Msumbiji na kwenye mipaka mingine yote ya Maziwa tuliyonayo.
Ikumbukwe Malawi wanaita Ziwa Malawi na ndio linajukikana hivyo huko google lakini hapa Tanzania ni Ziwa Nyasa.
View: https://www.instagram.com/p/DD7DDWgNEYr/?igsh=MWRmdDYyNXU4cGpweg==View attachment 3183712
My Take
Malawi wakubaliane na mpaka mpya hakuna namna mpaka utakuwa mwambao wakati huko Mozambique mpaka uko katikati.
View attachment 3183715
Wamalawi naona wakati mwingine wanakosa kutumia akili ndogo tu, kweli ziwa lote lNi KATIKATI ya ziwa , kwisha.Kwani Mwalimu Nyerere alisemaje kuhusu huo mpaka?maana ye ndio final say
Hatuwezi kukubali mipaka yetu ichezewe na watu wasiyoipenda Tanzania,..tutakufa na tutamwaga damu kwa ajili ya ardhi ya watanzania.🇹🇿Kwani Mwalimu Nyerere alisemaje kuhusu huo mpaka?maana ye ndio final say
Malawi ndio hawataki Wana claims kua ZIWA lote ni lao hapo ndipo mzozo unapo anzia/ mtiti..Nani anaanzisha hizi chokochoko?kwani mipaka si iliwekwa tangu kwenue Berlin conference kumbe kuna namna inaweza kueditiwa?
Ila hao Malawi sasa wakorofi....basi wachukue hadi wananchi wa MbambabayMalawi ndio hawataki Wana claims kua ZIWA lote ni lao hapo ndipo mzozo unapo anzia/ mtiti..
Aaah haaa hebu subiri,mtamwaga damu wewe na nani?Hatuwezi kukubali mipaka yetu ichezewe na watu wasiyoipenda Tanzania,..tutakufa na tutamwaga damu kwa ajili ya ardhi ya watanzania.🇹🇿
Wadhulumati sana hawa jamaa...Halafu ardhi hiyo hiyo unachimba zako kisima unakutana na mwamba wa dhahabu,ghafla unaambiwa na maafisa wa Serikali kuwa madini ni mali ya Serikali uondoke!?
Na wewe mkuu , kwani hutaki kuipambanania ardhi ya watu wako ?.Aaah haaa hebu subiri,mtamwaga damu wewe na nani?
Tuachane na beelin . Tukae kama waafrika tukubaliane tuishi kwa amani. Sema bado wanatutawala hivyo were wanalitakaMipaka sahihi ni ile iliyowekwa kwenye mkutano wa Berlin, mingine ni ubatili. Kwa maana hiyo hata Rwanda na Burundi ni mikoa ya Tanzania