Serikali Mbarali tutengenezee kipande hiki cha barabara

Serikali Mbarali tutengenezee kipande hiki cha barabara

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
331
Reaction score
416
Barabara hii ikitengenezwa itakuwa short cut kufika hospitali ya wilaya iliyopo Inyala. Tutafikisha mazao kwa urahisi sokoni. Mbeya vijijini wametengeneza kipande Chao wewe unashindwa Nini?

IMG_20231208_090429_772.jpg
IMG_20231208_090452_634.jpg
IMG_20231208_090457_697.jpg
IMG_20231208_092332_684.jpg
 
Hivi Inyala na Igurusi ni sehemu ya Mbalimbali? Vipi na tajiri wenu Kiswele bado yupo?
 
Hivi Inyala na Igurusi ni sehemu ya Mbalimbali? Vipi na tajiri wenu Kiswele bado yupo?
Inyala IPO Mbeya vijijini wakati igurusi IPO wilaya ya mbarali. Nazungumzia barabara ya malamba kwenda inyala, Barabara upande wa mbarali ni mbaya sana Toka 1975 wakati wa ujenzi wa Tazara haijawahi kujengwa lakini ndiyo inayopitisha malori ya nafaka kwenda sokoni.
 
Back
Top Bottom