Tetesi: Serikali mbioni kuchapisha noti mpya, kuna hatari ya kuelekea kwa Mugabe, harufu ya tenda za kifisadi zatawala

What happen!malizia toli nlishavuta popcorn nabugia taratibu hku ntafatilia story yko?

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kweli hata me ambaye elimu hiyo sina ila hilo nimeliona kabisa wallah

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo. Unachapisha noti mpya una pump kwenye economy.

Matokeo yake ni inflation ambayo inapunguza purchsing power ya currency. As mda unavyozidi kusogea bei za bidhaa zinazidi kupanda na hali ya maisha (living standard) inazidi kushuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cc:Magonjwa Mtambuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…