Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hapa nikubadilisha pesa kwenda kwenye dola mapemaa....
The early the better
The early the better
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuprint not mpya me sijaelewa yaani nizilezile ila wanaziongeza nyingine au wanazibadilisha kabisa wanaleta zaaina nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
○Viwanda 3000+
Tuache kudanganyana...yale ni madaraja makubwa ...○Fly over
Hata Moshi ina afadhali kuliko Dom○Kuamia Dom, kulifanýa jiji mpaka ○mapato kuòngeka na kulipita jiji la Dar
Ubaya hawa wamejazwa toka Mlimani walipokuwa wanafundisha NADHARIA za UCHUMI...Walipopelekwa Ofisini kuufanyia kazi uchumi, matokeo yake ni kaa haya....Gavana wa benki kuu na staff wake
Tena hii ni Total EclipseKupatwa kwa Tanzania
Mbona imeandikwa BENKUU nini hiyo au mwandishi alimanisha nini?Nilidhani Undertaker anajua kizungu kumbe nilikosea. Yaani "reprint" kwake ni kuchapisha noti aina tofauti. Hajui kwamba hizi noti huwa zinachakaa baada ya muda. Noti chakavu huondolewa kwenye mzunguko na kuwa replaced na mpya ambazo kuzipata ni lazima ufanye reprint.
[emoji4] [emoji4] akili zako unazijua mwenyewrDah kudadeki walahi, alafu zikishajazwa sasa nani atakuwa wakwanza kupewa hayo mahela
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa kunielewesha kiongozi. Tupo pamoja.Mkuu kwani notes zikishakuwa printed huwa zinaendelea kubaki idadi hiyo hiyo? Zinapoharibika au kuchakaa n.k huwa zinajitengeneza zenyewe? Wadau humu wamefanfanua vizuri kabisa kwamba yawezekana serikali inaprint notes mpya lakini za muonekano wa sasa ili kuziba pengo la zile notes zilizopotea, kuharibika au kuchakaa na kadhalika. Au inawezekana wanaprint notes mpya ili kuongeza ujazo wa notes kwa maana ya kuprint notes zaidi ili wazipump kwenye mzunguko wa fedha. Na mwisho inawezekana wanaprint notes zenye muonekano mpya kwa ajili ya kubadili tu sura ya notes zetu. Hizo zote ni options lakini usikomalie hiyo option moja tu kana kwamba wewe una uhakika 100% ya sababu za kuprint hizo notes za TZS.
Usisahau standard goji na baadae stigler goji (sijui tofauti ya hivi viwili) lakini maamuzi ya hawa watu yanatuumiza sana. Inaonekana wenzetu hawajali, wanaishi kwa kodi zetu, acha wapate vitambi maana hata muda wa mazoezi hawana, ni kula tu na kutoa matamkoKuna vitu havikuwa na haraka wala tija Kwa sasa mfano kuhamia Dodoma, passport za kielectronic, marudio ya chaguzi, kununua ndege,vimekausha hela kweli, kweli ambapo hizo hela zingeingizwa kwenye kuwajengea wananchi uwezo wa kuzalisha zingesaidia sana uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
okKatika uzi huu huu soma post yangu namba 25 na 30 nimejaribu kueleza kirahisi kabisa ili kila mtu aelewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi yangu, serikali yangu na Mimi ndio najua shida za watu wa chiniKwa wasiofahamu mimi ni mtu mkubwa hapa Bongo ndiye niliyeshinikiza noti mpya zitengenezwe sababu nataka ziwe na hii sura yangu
Walalahoi msijali pesa za kuprint ni juu yangu
Hiyo pia Mkuu chuwaalbert inaweza kuwa ni sababu.Ubaya hawa wamejazwa toka Mlimani walipokuwa wanafundisha NADHARIA za UCHUMI...Walipopelekwa Ofisini kuufanyia kazi uchumi, matokeo yake ni kaa haya....