Tetesi: Serikali mbioni kuchapisha noti mpya, kuna hatari ya kuelekea kwa Mugabe, harufu ya tenda za kifisadi zatawala

Tetesi: Serikali mbioni kuchapisha noti mpya, kuna hatari ya kuelekea kwa Mugabe, harufu ya tenda za kifisadi zatawala

Mkuu,umenikumbusha kitabu fulani kinaitwa 'His Excellence The Head Of The State' humo ndani humo mwanamama kwa jina la Nelly Takida

Kuna mtawala alitaka kuchapisha fedha Nelly Takida akagoma kwa kumshauri asichapishe tena alimpa formula za kiuchumi mwishowe mwanamama Nelly Takida alipuuzwa na kiongozi wa nchi yake (Kilitania) ali-print noti nyingi sana na kuwapa tenda rafiki zake bila kufuata taratibu za zabuni za ununuzi...gues what happened then!!!!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaio hapa unawaeleza waliosoma hicho kitabu au tukuelewe vipi?
 
Mimi nilitamani Tsh 10,000/= ya Kitanzania kiondolewe katika ela za Tanzania, Tubaki na Tsh 5,000/= tu, Tunakoelekea Hali itakuwa Mbaya sana.........

Hii ndiyo inaitwa kujali Watu masikini Tanzania kweli ? Kuna hatari kubwa sana katika anguko la uchumi.....

Endeleeni tu kununua Madiwani na Wabunge ndiyo uchumi utaimarika..............
Tuna Hospitali za serikali hazina dawa, Kuna shule hakuna vifaa vya Kufanyia mazoezi, Raia wema hawana Maji safi na salama, Hakuna barabara ya kuungani sehemu muhimu sana katika nchi yetu


Mimi nashauri endeleeni kununua viongozi ndiyo uchumi utakuwa...........

Financial crisis is the moment of truth for real collectors and true artists.
 
uchumi alianza kuuharibu jk
huyu alikuwa na nafasi ya kuurekebisha,bahati mbaya badala awaachie wachumi yeye mchmi maganda korosho akawa ndio mshauri mkuu wa kiuchumi,tena majukwaani!!!!
wakati jk anachukua nchi gdp ilikua kiasi gani na aliacha kiasi gani?
 
Mtoa Mada umegusa maeneo yote umemaliza,ndo madhara ya kuchanga fani kila MTU abaki na fani yake.Ukisomesha no watu,kukaza vyuma ili kuwakomoa watu,lzm utaathirika pia,ni sawa na kuwafukuza wapangaji nyumbani kwako.Hata nae utaadhirika,uchumi haujifichi,hakuna ajuaye kila kitu akafaulu wote uangukia pua wengi tumewaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipanda miba Kwa Jirani yako itakuchoma,wote wakisoma no ili kuifurahisha Furaha nawe utaisoma tu.Mito ikikaushwa ili kuwakomoa majirani wasipate Maji, ziwa nalo litakauka,wataelewa wakiwa wamechelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mahasidi kila siku wanamuombea mabaya raisi ila mungu anawaumbua watu wao kila siku wanazidi kuhamatu
 
Back
Top Bottom