Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Na pengine huyo ni ndg yao hawapendani wanataka tu kumuharibia kazi, ndg sometimes ni hatari.Bila uthibitisho wa picha, video clips, ushahidi wa daktari kwa walifanya nae mapenzi
Hii itakua stori ya kupika, na lengo ni kuichafua taswira ya shule na ya mhasibu pia
.
Mkinielewa vibaya ni sawa, ila watoto wanakula ada, wanajitongozesha kwa walimu na wahasibu halafu wanatafuta huruma ya Serikali
Hii si kweli mkuu,ni wajibu wa mahakama to protect a whistle blower na inaweza kufanya hili kwa mtoa mada kutoa ushahidi wake akiwa nyumbani na audio yake wana link na court na hili including kubadilisha sauti yake, au PP kuchukua sworn statement kutoka kwa whistle blower ,ni wajibu wa police hasa foresinc dept kukusanya ushahidi hasa wa DNA,binafsi sipendi kuona innocent guy akipelekwa jela kama ya akina Babu seya, moja ya kesi ya hovyo mno uliyojaa uongo, unafiki uoga na failure ya mahakama to uphold rule of law na justice kwa victims na suspectsTatizo mahakama inataka ushahidi,Je utakua tayari kusimama kizimbani kutoa ushahidi wako huo?
Yes/No ILA NI WAJIBU WA POLICE KUTHIBITISHA HILI, witness walindwe na statements zao ziwe sworn na court ,DNA test ni muhimu hasa sperms ,condoms kama zilitumika na kama suspect ana facials ndani sehemu zake private parts ambazo zinaonekana tu kama yupo unchiBila uthibitisho wa picha, video clips, ushahidi wa daktari kwa walifanya nae mapenzi
Hii itakua stori ya kupika, na lengo ni kuichafua taswira ya shule na ya mhasibu pia
.
Mkinielewa vibaya ni sawa, ila watoto wanakula ada, wanajitongozesha kwa walimu na wahasibu halafu wanatafuta huruma ya Serikali
Mambo ya shule huwa hayahitaji ushahidi kama wa mahakamani.Tatizo mahakama inataka ushahidi,Je utakua tayari kusimama kizimbani kutoa ushahidi wako huo?
Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Stella wa bunju si ulikua unachangia mada ya mbinu mpya za ma single mothers? Leo tena umekua mwanafunzi [emoji28][emoji28]
Baadhi wanakua nao.Labda utaratibu umebadilika. Hivi shule za Serikali siku hizi wanaajiri Wahasibu?
Ndio maana nikasema hii story imekaa kimajunguNa pengine huyo ni ndg yao hawapendani wanataka tu kumuharibia kazi, ndg sometimes ni hatari.
Nilichojifunza kwenye hiyo shule ya Machame; hiyo tabia ni ya kawaida kwenu nyinyi wanafunzi kitembea na walimu. Na jambo hili limesababishwa na kujenga urafiki uliopitiliza na walimu.Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu
Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.
Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana
More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.
Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.
Naomba msaada.
Pole sana Stella wa bunju, huyu mbakaji lazima afungwe.Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu
Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada.
Ninaomba wanajukwaa na viongozi mliopo humu nisaidieni suala hili, limeumiza wanafunzi wengi Sana
More enough kama unadaiwa Deni ukimkubalia kutembea nae anafuta Deni ukimkatalia anaongeza Deni. Anatia hasara serikali.
Amekuwa pia na tabia ya kuletea wanafunzi pombe anawalewesha na kutembea nae, pia ndio anayechajia wanafunzi simu.
Naomba msaada.
Mpuuzi tu wewe kumbe hafu aloyeandika ni mwengine me nilitaka nipate darasa tu unaleta bla bla.....Ni ujinga mtupu kukosea na kuwa mkali! Tenses hazizipandi?
Kwa hiyo una mashaka na mtoa malalamiko?Na pengine huyo ni ndg yao hawapendani wanataka tu kumuharibia kazi, ndg sometimes ni hatari.
Hakuna anayekataa mkuu, tunabalance tu kwa kuwaza tofauti.Anaekataa hii filimbi afanye utafiti wahasibu ni kero hata kwa watoto wa vyuo, pamoja na watu wa students records na IT haya mambo yapo.
Inatakiwa iwe hivyo, ila kwa kiasi kikubwa shule kongwe ndio zina hao wataalamu ambao siyo waalimu mfano: Wahasibu, watu wa maktaba, watunza stoo, lab technicians.Baadhi wanakua nao.