DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wazazi wenu nao wanalijua hili suala?
 
 
Huko Kilimanjaro hali tete?
Hivi sakata la yule afisa elimu wa Manispaa ya Moshi limeishaje?
Huko wanangonoka sana sababu ya kawinta.
 
Hiyo shule wengine hatujui ipo mkoa gani hapa Tanzania?
 
Mnhh!!
 
Takukuru saidia hiyo sakata....mhasibu anajifanya Mungu mtu ??
 
Unaomba msaada gani na ushasema umemaliza hapo.
 
Mhh hii ni hatari kama ni kweli vyombo husika vifanyie kazi hizi taarifa, Maana wazazi tunapeleka watoto wetu kwenda kusoma,kumbe walezi tunaowategemea Wanafanya mambo yasiyofaa. Inatuumiza sana wazazi.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Anaongezaje deni na risiti unazo?
Acha miyeyusho dogo
 
Hii ni ID imejiunga JF maksudi kwa ajili ya huyo mhasibu. Joined on Saturday na siku hiyohiyo mada ya kwanza ni kuhusu huyo mhasibu. Tuwe makini isije kuwa vita binafsi ya kazini inahamishiwahuku JF
 
Hiyo shule ovyo kama kweli wanafunzi wanaruhusiwa kuwa na simu
 
Minor issue,hayo mambo yapo kila sekta ndani ya seeikali
 
Hii ni ID imejiunga JF maksudi kwa ajili ya huyo mhasibu. Joined on Saturday na siku hiyohiyo mada ya kwanza ni kuhusu huyo mhasibu. Tuwe makini isije kuwa vita binafsi ya kazini inahamishiwahuku JF
Nimejiunga purposely kwa issue hii, naamini hapa Ni sehemu salama,sitajulikana lakini pia ,msaada utaonekana.
 
Anaongezaje deni na risiti unazo?
Acha miyeyusho dogo
Wachunguzi watakuja na majibu hayo, kwa Sasa kwenu mtaona Ni tuhuma kwangu sio tuhuma Ni kitu kilichotokea.
Otherwise huruhusiwi,kucrash Kama huna sababu za kufanya hivyo.

jF NI JUKWAA HURU LA KUTOA MAONI
 
Sio kweli,umakini unahitajika sana katika kudeal na mtoto wa kike hasa shuleni, sikatai haya mambo yapo na yanafanyika katika jamii yetu,shida pia ipo watoto wa kike hutumia hata kama defence mechanism pale anapogomban na jinsia ya kiume.
 
Sasa we ushamaliza unaomba msaada gani tena, hujaliwa kutongozwa umekata hajakudhalilisha wala kukuongezea deni,
Labda kama kuna wahanga wapo hapo bado wanasoma waandae ushahidi uwe mezani tofauti na hapo itakuwa fitina kama fitina zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…