DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Inaelekea hadi unamaliza hapo hukumkubalia, je uliongezewa deni lolote? (na ushahidi) au Ulipokea manyanyaso/vitisho vyovyote? All in all atamulikwa.
Ulivyoanza ni km mtu ambae una msaada kwny hili swala
 
Huyu demu nae mawenge kinoma,kaandika shutuma zake kaziweka public afu kapotea hataki hata kujibu vitu vinavyoulizwa na watu wanaotaka kusaidia,Huu uzi ufutwe
 
Wewe ni mzalendo unapaswa kulindwa kwa gharama yeyote. Serikali naamini imelisikia na watalifanyia kazi.
 
Nmewai kuwa mwl wa kujitolea mwaka 2010 , wanafunz pia wanatabia ya kuwataka walimu na wakikataliwa wanakuja kudai wametongozwa , vitengo husika wasiwe na upande kwenye hili , waweke mtego kwa mwl husika , na watoe onyo kwa uongoz wa shule kama mwanafunz akitoa taarifa za manyanyaso na wasipochukua hatua basi uongoz wa shule uchukiliwe hatua pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…