Serikali: Mfumuko wa Bei za Vyakula na Vinywaji bado ni Himilivu

unazidiwa akili na muheshimwa msukuma
 
Nyie mbumbumbu mmezidi kulialia humu JF hadi moderator wamechoka mada zenu za kipumbavu wanaziunganisha.[emoji23][emoji23]
Unakula na kulala kwa shemeji alikoolewa dadako, haya mambo ni magumu sana kwako
 
Nyie mbumbumbu mmezidi kulialia humu JF hadi moderator wamechoka mada zenu za kipumbavu wanaziunganisha.😂😂
Mbona huchoki kuzifuatilia na kuzichangia!?
Tushukuru sisi kwa sababu hii ndio inakupa kula wewe chawa lumumba buk7 tukiacha chawa hamtakuwa na kazi hapo Lumumba mtalala njaa
 
[https://radiotadio]

Dodoma FM

Dodoma FMHabari za JumlaBei ya mafuta ya alizeti yapaa

Bei ya mafuta ya alizeti yapaa

11 January 2021, 12:45 pm

Na,Shani,

Dodoma

Imeelezwa kuwa kupanda kwa bei ya mafuta ya kula hususan ya alizeti kumechangiwa na mvua kubwa iliyonyesha msimu uliopita.
Hayo yameelezwa na wafanyabasara katika soko la Majengo jijini Dodoma wakati wakizungumza na Dodoma Fm ambapo wamesema alizeti imeadimika kutokana na wakulima wengi kutopata mavuno mazuri msimu uliopita baada ya mvua kuziharibu shambani.

SUKARI
14 Apr 2020

Mwananchi 12/04/2020

[https://business]



Dar/mikoani. Bei ya sukari katika mikoa mbalimbali imeongezeka kwa kati ya Sh300 na Sh700, huku Waziri wa Kilimo akitaja sababu ya ongezeko hilo na kuwatoa hofu wananchi kwani tani 40,000 zimeshawasili kurekebisha hali hiyo.Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi umebaini kuwa bidhaa hiyo imepanda bei kwa takribani mwezi mmoja sasa, lakini kuna tofauti ya ongezeko hilo katika maeneo.



Katika baadhi ya maeneo, bei imepanda kutoka Sh2,600 kwa kilo moja hadi Sh3,000 na maeneo mengine kutoka Sh2,800 hadi Sh3,000, huku katika mikoa kama Arusha, Mwanza na Dodoma bei imepanda kutoka kati ya Sh2,400 kwa kilo moja hadi Sh3,000 na vijijini imefika Sh3,500.



“Ni kweli bei ya sukari imeanza kuongezeka kutokana na kuongezeka kwa mahitaji yake, lakini Serikali tayari imeagiza tani 40,000 kutoka nje ya nchi ili kumaliza changamoto hiyo,” alisema Waziri wa Kilimo, Joseph Hasunga.

Bei zilifika hapo babako Magu akiwa bado madarakani.
 
Hata watanzania nao ni wahimilivu.
 
Kwamba bei ni himilivu unampima nani? Bakhresa au Mwajuma ndala ndefu?
 
Mtakwimu feki huyo mbona mfumuko wa bei za vitu umeongezeka zaidi ya mara mbili?

Vita ya Ukraine na Covid-19 ni kichaka cha visingizio visivyovumilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…