Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Aljazeera

Ova
IMG-20200401-WA0001.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii 'na magonjwa mengineyo' ni njia tu ya kutuhadaa na kutufariji.. chukueni tahadhari sio hizi siasa.

Corona yenyewe inakuja na magonjwa yake pia tena ni hatai zaidi.. mapafu ya kisha collapse hata ventilator haina kazi hapo ni mauti tu.
 
nlichogundua tangu hii kitu imeanza inaua wenye 45 n plus,ikiwa chini ya umri huo lazima awe na maradhi mengine.hii Ni kwa sababu katika umri wa kuanzia miaka 46 Kinga za mwili zinaanza kuwa dhaifu
NB:MTU MWEUSI HATA AWE NA 50 YRS KUFA KWA CORRONA LAZIMA AWE NA MARADHI MENGINE

PROUD OF BLACK
Hii coment yako nimeielewa sana!
Kamanda inaukweli
 
Wa kwanza huyo
Haya sasa mtahesabu sana
Daftari ndio ukurasa wa kwanza
Ohh sisI weusi wagumu sana hii haituwezi
WEUSI SHULE
 
Hivi ndugu wanaruhusiwa kutembelea kaburi la ndugu yake aliyefariki kwa Corona? Nawaza tu au vijidudu bado vinaishi?
 
Ni hivi afsa: Ugonjwa wa corona unaweza kumuua mtu yeyote hata yule mwenye afya kabisa. UK kulingana na data za leo kuna watu 28 wamefariki ambao hawakuwa na ugonjwa mwingine wowote. Yaani walikuwa wazima kabisa. Japokuwa kwa wenye magonjwa mengine na wazee ni rahisi zaidi kuathirika au kufariki lakini hata wazima kabisa wapo wanaofariki. Italia wamefariki madaktari 60 mpaka sasa hivi. Unataka kuniambia hawa madaktari wote walikuwa na magonjwa mengine?
Walikuwa na magonjwa mengine au hawakuwa nayo that is irrelevant...the fact is wote wamekufa na sababu ni corona
 
Hivi ndugu wanaruhusiwa kutembelea kaburi la ndugu yake aliyefariki kwa Corona? Nawaza tu au vijidudu bado vinaishi?
Vidudu vina uwezo wa kuishi on surface only for 4days. Baada ya hapo ruhusa mkuu kwenda kwenye kabiri la ndugu yako
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Vidudu vina uwezo wa kuishi on surface only for 4days. Baada ya hapo ruhusa mkuu kwenda kwenye kabiri la ndugu yako
Ila hapa itabidi kusubiri ugonjwa uishe kwa sababu si nasikia kuna eneo maalumu la kuzika waliofariki kwa ugonjwa huu au ni radio Mbao zinatudanganya sisi wa kijijini?
 
Ila hapa itabidi kusubiri ugonjwa uishe kwa sababu si nasikia kuna eneo maalumu la kuzika waliofariki kwa ugonjwa huu au ni radio Mbao zinatudanganya sisi wa kijijini?
Kwa
Kwakweli hili bado sijalijua maana so far aliyefariki ni mmoja na hawakutangaza amezikwa wapi. Tutajuzana kama hilo la kuzika ni sehemu moja ama vipi.
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Kwa
Kwakweli hili bado sijalijua maana so far aliyefariki ni mmoja na hawakutangaza amezikwa wapi. Tutajuzana kama hilo la kuzika ni sehemu moja ama vipi.
Ahsante sana Mkuu. I really appreciate it.
 
Back
Top Bottom