Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

Hii 'na magonjwa mengineyo' ni njia tu ya kutuhadaa na kutufariji.. chukueni tahadhari sio hizi siasa.

Corona yenyewe inakuja na magonjwa yake pia tena ni hatai zaidi.. mapafu ya kisha collapse hata ventilator haina kazi hapo ni mauti tu.
 
Hii coment yako nimeielewa sana!
Kamanda inaukweli
 
Wa kwanza huyo
Haya sasa mtahesabu sana
Daftari ndio ukurasa wa kwanza
Ohh sisI weusi wagumu sana hii haituwezi
WEUSI SHULE
 
Hivi ndugu wanaruhusiwa kutembelea kaburi la ndugu yake aliyefariki kwa Corona? Nawaza tu au vijidudu bado vinaishi?
 
Walikuwa na magonjwa mengine au hawakuwa nayo that is irrelevant...the fact is wote wamekufa na sababu ni corona
 
Hivi ndugu wanaruhusiwa kutembelea kaburi la ndugu yake aliyefariki kwa Corona? Nawaza tu au vijidudu bado vinaishi?
Vidudu vina uwezo wa kuishi on surface only for 4days. Baada ya hapo ruhusa mkuu kwenda kwenye kabiri la ndugu yako
 
Reactions: Mj1
Vidudu vina uwezo wa kuishi on surface only for 4days. Baada ya hapo ruhusa mkuu kwenda kwenye kabiri la ndugu yako
Ila hapa itabidi kusubiri ugonjwa uishe kwa sababu si nasikia kuna eneo maalumu la kuzika waliofariki kwa ugonjwa huu au ni radio Mbao zinatudanganya sisi wa kijijini?
 
Ila hapa itabidi kusubiri ugonjwa uishe kwa sababu si nasikia kuna eneo maalumu la kuzika waliofariki kwa ugonjwa huu au ni radio Mbao zinatudanganya sisi wa kijijini?
Kwa
Kwakweli hili bado sijalijua maana so far aliyefariki ni mmoja na hawakutangaza amezikwa wapi. Tutajuzana kama hilo la kuzika ni sehemu moja ama vipi.
 
Reactions: Mj1
Kwa
Kwakweli hili bado sijalijua maana so far aliyefariki ni mmoja na hawakutangaza amezikwa wapi. Tutajuzana kama hilo la kuzika ni sehemu moja ama vipi.
Ahsante sana Mkuu. I really appreciate it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…