Serikali: Miji ya Arusha, Dar, Zanzibar na Dodoma kuipaisha Tanzania kuwa Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani.Ukumbi wa 2 kwa Ukubwa Afrika kujengwa

Ukweli ni kwamba Arusha ni mji wa kimataifa na kila mwezi lazima mama atie timu pale kwa ajili ya mikutano ya kimataifa. JPM alichukia mno Arusha na alishaiua.
Kuna hata thread moja ya kipuuzi nliiona humu jf eti mdau anasema mbona mama anaenda sana arusha na mikoa mingine haendi hajui arusha, zanzibar, dar na dodoma ni miji muwakilishi wa hii nchi na arusha ni mji wa kidiplomasia wa hii nchi na si utalii tu kama watu wanavodhani kuna taasisi zaidi ya 20 za kimataifa ziko arusha bila kusahau ni makao makuu ya africa mashariki lakini hata baba wa taifa aliasisi aicc ijengwe arusha na sio pengine aliona umuhimu wake..kwahio raisi anapokuja arusha haimaanishi ni kwa miradi ya maendeleo ya mkoa wa arusha mara nyingi anakuja kwenye mikutano au warsha tangu samia awe raisi ameshafanya ziara rasmi arusha mara moja tu
 
Hiyo barabara ni ya East africa chief na ilizinduliwa na kikwete na kenyatta wa kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ kuhusu mradi wa maji ndio kabisa uliasisiwa na kikwete 2012 usitudangaje buana! Alafu barabara zipi hizo kila kona mzee
Maji Arusha uzinduzi umefanyika 2018 hapo Kikwete anaingiaje hapo? Katika viongozi vilaza ni Kikwete kwenye mradi wa maji hana mchango wowote wadanganye wasio na taarifa!
 
Maji Arusha uzinduzi umefanyika 2018 hapo Kikwete anaingiaje hapo? Katika viongozi vilaza ni Kikwete kwenye mradi wa maji hana mchango wowote wadanganye wasio na taarifa!
Hapo umedanganya rafiki,mradi wa kutoa maji Ziwa Victoria ulianza lini,halafu kumbuka Dr. Kikwete alishawahi kuwa Waziri mwenye dhamana na maji.
 
Mnaonaje kama Dar, dodoma, arusha na zanzibar mkiwa nchi moja , na sisi wamikoani tukijiundia serikali yetu? Kozi nyie mnaumuhimu kuliko mikoa yote heri muanzishe nchi yetu na sisi mikoa ya kajamba nani tuwe na serikali yetu.
 
Hapo umedanganya rafiki,mradi wa kutoa maji Ziwa Victoria ulianza lini,halafu kumbuka Dr. Kikwete alishawahi kuwa Waziri mwenye dhamana na maji.
Watu wanaongelea mradi wa maji wa Arusha ulioanzishwa na Dk magufuli wenye thamani ya biluon 520+ , sijui kutoa maji ziwa victoria imekujaje hapo kwa mfano?
 
Punguza kisirani,,Kitombilee!!huko kote wanaishi wtz kama wewe,,Punguza roho mbaya
 
Sina roho mbaya, nataka pia mkumbuke juhudi ya mwendazake huko kwenu kazilang'ombe alikopeleka mradi wa bilion520 za maji.
Kwani ni nani ameponda juhudi zake wakati alikuwa mtz na alifanya Kwa ajili ya Watz na Tz hata huyu wa sasa anafanya Kwa ajili ya Tz na Watz pia!!
 
Kumbe tupo wengi tunaohoji swali hili.
Serikali inaiogopa sana Mwanza wanajua wakibust miradi mingi mikubwa ya kimkakati hata hicho ki dar chao kitakuwa underdog Kwa Mwanza we fikiria mbali na kutopewa sapoti ya kutosha lakini bado haishuki ilipo je ikipewa itakuaje? Kuna wakati inafikia hata kuomba kila kanda ijitegemee kimapato Ili tuoneshane umwamba zaidi
 
Thread zote unazunguka unasema hivyo hivyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ serikali iwaogope nyie kunguni wa ziwani😁😁
 
Thread zote unazunguka unasema hivyo hivyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ serikali iwaogope nyie kunguni wa ziwani😁😁
Mjinga sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Thread zote unazunguka unasema hivyo hivyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ serikali iwaogope nyie kunguni wa ziwani😁😁
Mtateseka sana kina wewe Mwanza ni lidude likubwa mnooooo ndo maana hata mama yenu na chawa wake wanakuja huku mara kwa mara na hawataki kuniachia kama Mwanza ikijiendesha yenyewe khakuna mkoa utaotia pua lake hapa kwanza ina wasomi wengi wachapakazi wengi matajiri wengi wazalendo wengi utatueleza nini sasa
 
Ujenzi wa kumbi ulishaanza au porojo za serikali tu.
 
Our beautiful home🏑
 

Attachments

  • Screenshot_20231005-072233_Gallery.jpg
    66 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231005-072241_Gallery.jpg
    41.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20231005-072753_Gallery.jpg
    167.4 KB · Views: 4
Porojo tu zile πŸ˜ƒπŸ˜ƒ tangu 2003 wanasema vilevile
Serikali sio ya kuwaamini sisi tuliambiwa tutajengewa hotel ya kuelea kwenye maji mpaka leo naona kimyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Serikali sio ya kuwaamini sisi tuliambiwa tutajengewa hotel ya kuelea kwenye maji mpaka leo naona kimyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanasiasa wa kibongo kutiana moyo tu ili tutambiane humu ingekua hata ni kenya hapo afadhal ila bongo nyosoπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Sikufichi braza miundombinu ya miji yetu ni hovyo balaa kilichobadilika kutoka uhuru ni kidogo sana πŸ˜… 😒 ukienda hata hapo kenya utaniamin
 
Achana na majiji ya kenya nenda miji ya kawaida tu kama eldoret na kisii alafu uje ulinganishe na majiji yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…