Kuna hata thread moja ya kipuuzi nliiona humu jf eti mdau anasema mbona mama anaenda sana arusha na mikoa mingine haendi hajui arusha, zanzibar, dar na dodoma ni miji muwakilishi wa hii nchi na arusha ni mji wa kidiplomasia wa hii nchi na si utalii tu kama watu wanavodhani kuna taasisi zaidi ya 20 za kimataifa ziko arusha bila kusahau ni makao makuu ya africa mashariki lakini hata baba wa taifa aliasisi aicc ijengwe arusha na sio pengine aliona umuhimu wake..kwahio raisi anapokuja arusha haimaanishi ni kwa miradi ya maendeleo ya mkoa wa arusha mara nyingi anakuja kwenye mikutano au warsha tangu samia awe raisi ameshafanya ziara rasmi arusha mara moja tuUkweli ni kwamba Arusha ni mji wa kimataifa na kila mwezi lazima mama atie timu pale kwa ajili ya mikutano ya kimataifa. JPM alichukia mno Arusha na alishaiua.