Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

Usijifanye hujui nini hutokea ikiwa wezi watadhulumiana mgao!!!

Polisi taarifa humfikia pasi kuzitafuta!!

Anyway, Bado mengi tu yatavuja 2023 na kuendelea maana Wazaramo husema, "There is no evil plan without a mistake"!!!
 
Wewe na wee una mke duh
 
Mimi naona uko sawa tu.
Mama alikosea kupeleka bungeni suala hili akiamini kuwa anafanya demokrasia, kumbe anawaamsha Mazuzu.
Watanganyika bado wanaamini Ujamaa, wakati CCM imeelekea Upepari.
Uwekezaji wa nje huwa hautumii sheria za Kijamaa za tnzania.
na Mabepari wengi wanahofu naMfumow wetu wa nchi, ndiyo maana kwenye mkataba wanaweka vipengele vingi vya kuwalinda. Kuwekeza kunatumia hela ndefu sana. Ndo maana wanataka Dhamana ya kueleweka.
 

Wewe hata wangeweka mkataba wa kukuuza uwe mtumwa ungeona ni sawa tu.

Serikali ni nini?

Ipo pale maslahi ya Nani?

Bila wananchi kuna serikali?
 
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu...
Hata wewe hukuwa na sababu ya kuandika huu utumbo wako wa nya ili ujinga uliokujaa kichwani ubaki siri yako. Usingeandika huu uozo tusingejua kiasi cha umbumbu wako
 
Huna akili kabisa
 
Halafu mseme hiki Chama kuna mwenye akili? Kama yupo basi Yuko huko kimasilahi tu. Imagine huyu ni Katibu wa CCM mkoa.
 
Aliyeuvujisha apewe maua yake, shujaa mzalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…