Serikali: Mkopo kutoka Korea hauna masharti ya kuweka rehani rasilimali za nchi

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA

Mobhare Matinyi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Dar es Salaam
Juni 4, 2024.
Saa 8:00 Mchana.

Ufafanuzi huu unafuatia habari yenye dosari iliyorushwa hewani jana na tovuti ya Idhaa ya Kiswahili ya redio ya Sauti ya Amerika (VoA) na kisha kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kuibua maswali ambayo kwa hakika yanahitaji ufafanuzi wa Serikali. Aidha, taarifa hizo pia zimeandikwa na mashirika ya habari ya kimataifa na pia kunukuliwa na magazeti kadhaa nchini na Afrika Mashariki zikiwa pia na upotoshaji.

Katika ziara hiyo, Mhe. Rais ameshuhudia utiaji saini wa nyaraka tatu na tamko moja. Kwanza, ni mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa dola za Marekani bilioni 2.5 (sawa na shilingi trilioni 6.7) kwa ajili ya miradi ya miundombinu chini ya Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Uchumi (Economic Development Cooperation Fund - EDCF) wa Korea.

Mkopo huu kama ambavyo imeshaelezwa na viongozi wengine wanaondamana na Mhe. Rais ziarani, Balozi wa Tanzania nchini Korea, Mhe. Togolani Mavura, na Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, ni wa masharti nafuu ambao utatumia miaka mitano kutolewa lakini utaanza kulipwa baada ya miaka 25, yaani kwenye mwaka wa 26 na kwamba utatumia miaka 40 kulipwa tofauti na ilivyoelezwa na vyombo vingine vya habari.

Mkopo huu utakuwa na riba ya asilimia 0.01 kwa muda wote wa malipo. Mkopo huu ni kuanzia mwaka 2024 hadi 2028 na ni mwendelezo wa mikopo mingine ya aina hii kutoka Korea kuja Tanzania. Tanzania haijaweka rehani kitu chochote au mali yoyote kama inavyopotoshwa na baadhi ya vyombo vya habari na wanaojadili katika majukwaa mbalimbali ya mitandaoni na yasiyokuwa ya mitandaoni. Mkopo huu si wa masharti ya kuweka rehani kitu chochote.

Tanzania imeshapata mikopo ya masharti nafuu ya aina hii kutoka EDCF ya Korea mara mbili na hii ni mara ya tatu. Mara ya kwanza ilikuwa dola za Marekani milioni 733 (kwa kipindi cha mwaka 2014-2020); na mara ya pili ilikuwa dola bilioni 1 (2021-2025) uliosaniwa Agosti 2021. Huu wa sasa ni wa tatu na unafanya jumla iwe dola bilioni 2.5 kwa kujumuisha na fedha za mwaka 2024 na 2025 wa ule mkopo wa pili.

Tanzania ni moja ya nchini 59 zilizoko barani Afrika, Asia na Ulaya ambazo zinafaidika na mkopo wa aina hii kutoka EDCF.

Mbali na mkataba huo, Mhe. Rais pia alishuhudia utiaji saini wa Hati za Makubaliano (MoU) mbili ambapo ya kwanza ni ya ushirikiano katika sekta za uchumi wa bluu ambapo kutakuwa na utafiti, mafunzo na miradi ya uvuvi; na ya pili kwenye madini ya kimkakati ambapo kutakuwa na utafutaji na utafiti, uchimbaji na uongezaji wa thamani kabla ya kuuza bidhaa zake nje, mfano betri za magari.

Aidha, Mhe. Rais alishuhudia kusainiwa kwa Tamko la Pamoja la Uanzishaji wa Majadiliano ya Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (Joint Statement on the Launch of Negotiation on Economic Partnership Agreement - EPA).

13. Baadhi ya miradi mingine iliyotokana na ushirikiano baina ya Tanzania na Korea na mikopo ya aina hii iliyotajwa hapo juu ni kama ifuatavyo:
  1. Ujenzi wa Hospitali ya Mloganzila:
  2. Uboreshaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili:
  3. Daraja la Tanzanite jijini Dar es Salaam;
  4. Daraja Jakaya Kikwete mto Malagalasi;
  5. Uunganishaji wa mkoa wa Kigoma kwenye gridi ya taifa ya umeme;
  6. Mradi wa maji safi na taka mkoani Iringa;
  7. Bandari ya uvuvi Bagamoyo;
  8. Awamu ya kwanza ya mradi wa vitambulisho vya taifa vya NIDA;
  9. Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonesho Zanzibar;
  10. Hospitali ya Binguni Zanzibar
  11. Chuo cha Tehama jijini Dodoma;
  12. Mradi wa umwagiliaji Zanzibar.

Mwisho.

IMG-20240604-WA0028.jpg
IMG-20240604-WA0029.jpg
 
Rudia kufafanua kwanza kuhusu mkataba wa bandari yetu na Dp world uliowaacha kina maulid Kitenge wakiogelea kwenye dimbwi la pesa
 
Kazi mnayo yani 2025 kitaeleweka, hampati kitu dadeki zenu
 
MO na Mkataba halisi wauweke hapo tuuone
 
UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA. SERIKALI HAIJAWEKA REHANI KITU CHOCHOTE.

Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi.
 
Attachments

  • IMG-20240604-WA0000.jpg
    IMG-20240604-WA0000.jpg
    105.9 KB · Views: 1
  • IMG-20240604-WA0001.jpg
    IMG-20240604-WA0001.jpg
    123 KB · Views: 4
Mbona maelezo yamekuwa mengi sana.

Hatukatai kukopa, tunachokataa ni viongozi wetu kutoumiza kichwa na kutumia resources tulizonazo baadala yake wanachukua option rahisi rahisi za kukopa.

Sisi tunaamini Kuna wakati hakuna ulazima wakuchukua hiyo mikopo kama tutaamua kutumia akili zetu na kutumia resources tulizonazo.

Unachukuaje mkopo wakati serikali ni kubwa na matumizi ni makubwa, kwanini kwanza usipunguze kwanza ukubwa wa Serikali.
Unachukuaje mikopo huku wizi na rushwa vimetamalaki kila mahala.
Unachukuaje mkopo huku mamia ya taasisi za Serikali zinaunderperform kwa sababu ya poor management na incompetency, ambavyo ukiviondoa zinaweza kuwa productive.
Unachukuaje mikopo huku Kodi hazilipwi na mianya ya ukwepaji ni mingi balaa.
Unachukuaje mkopo huku watu wako wengi ni unproductive na jobless, ambao unahitaji kutumia resources tulizonazo na kuwafanya wawe productive.

Viongozi wetu wamerelax sana, hatuna big brains zinazoweza kuwaza 10 to 20yrs zaidi ya kikundi cha watu kinachowaza uchaguzi na kuwa viongozi kwa manufaa binafsi.
 
Labda mnisaidie wadau
Ujenzi wa mloganzila kivipi

Uboreshaji wa muhimbili lazima mkopo wa nje

Daraja la Tanzanite kivipi

Ule uzinduzi wa grid Kigoma ilikuwaje au haukamilika je inahitajika mkopo pia?

Maji Safi kwenye miji yahitaji mikopo

Nida je ???

Bandari ya uvuvi imekaa poa Sana
Chuo Cha Tehama excellent
Mradi wa umwagiliaji Safi sana ni uzalishaji
 
Mkopo Kutoka Korea ndio nini?

Korea Kuna North na South, sasa tueleweje?
 
UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA

Mobhare Matinyi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Dar es Salaam
Juni 4, 2024.
Saa 8:00 Mchana.

Ufafanuzi huu unafuatia habari yenye dosari iliyorushwa hewani jana na tovuti ya Idhaa ya Kiswahili ya redio ya Sauti ya Amerika (VoA) na kisha kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii na kuibua maswali ambayo kwa hakika yanahitaji ufafanuzi wa Serikali. Aidha, taarifa hizo pia zimeandikwa na mashirika ya habari ya kimataifa na pia kunukuliwa na magazeti kadhaa nchini na Afrika Mashariki zikiwa pia na upotoshaji.

Katika ziara hiyo, Mhe. Rais ameshuhudia utiaji saini wa nyaraka tatu na tamko moja. Kwanza, ni mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa dola za Marekani bilioni 2.5 (sawa na shilingi trilioni 6.7) kwa ajili ya miradi ya miundombinu chini ya Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Uchumi (Economic Development Cooperation Fund - EDCF) wa Korea.

Mkopo huu kama ambavyo imeshaelezwa na viongozi wengine wanaondamana na Mhe. Rais ziarani, Balozi wa Tanzania nchini Korea, Mhe. Togolani Mavura, na Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo, ni wa masharti nafuu ambao utatumia miaka mitano kutolewa lakini utaanza kulipwa baada ya miaka 25, yaani kwenye mwaka wa 26 na kwamba utatumia miaka 40 kulipwa tofauti na ilivyoelezwa na vyombo vingine vya habari.

Mkopo huu utakuwa na riba ya asilimia 0.01 kwa muda wote wa malipo. Mkopo huu ni kuanzia mwaka 2024 hadi 2028 na ni mwendelezo wa mikopo mingine ya aina hii kutoka Korea kuja Tanzania. Tanzania haijaweka rehani kitu chochote au mali yoyote kama inavyopotoshwa na baadhi ya vyombo vya habari na wanaojadili katika majukwaa mbalimbali ya mitandaoni na yasiyokuwa ya mitandaoni. Mkopo huu si wa masharti ya kuweka rehani kitu chochote.

Tanzania imeshapata mikopo ya masharti nafuu ya aina hii kutoka EDCF ya Korea mara mbili na hii ni mara ya tatu. Mara ya kwanza ilikuwa dola za Marekani milioni 733 (kwa kipindi cha mwaka 2014-2020); na mara ya pili ilikuwa dola bilioni 1 (2021-2025) uliosaniwa Agosti 2021. Huu wa sasa ni wa tatu na unafanya jumla iwe dola bilioni 2.5 kwa kujumuisha na fedha za mwaka 2024 na 2025 wa ule mkopo wa pili.

Tanzania ni moja ya nchini 59 zilizoko barani Afrika, Asia na Ulaya ambazo zinafaidika na mkopo wa aina hii kutoka EDCF.

Mbali na mkataba huo, Mhe. Rais pia alishuhudia utiaji saini wa Hati za Makubaliano (MoU) mbili ambapo ya kwanza ni ya ushirikiano katika sekta za uchumi wa bluu ambapo kutakuwa na utafiti, mafunzo na miradi ya uvuvi; na ya pili kwenye madini ya kimkakati ambapo kutakuwa na utafutaji na utafiti, uchimbaji na uongezaji wa thamani kabla ya kuuza bidhaa zake nje, mfano betri za magari.

Aidha, Mhe. Rais alishuhudia kusainiwa kwa Tamko la Pamoja la Uanzishaji wa Majadiliano ya Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (Joint Statement on the Launch of Negotiation on Economic Partnership Agreement - EPA).

13. Baadhi ya miradi mingine iliyotokana na ushirikiano baina ya Tanzania na Korea na mikopo ya aina hii iliyotajwa hapo juu ni kama ifuatavyo:
  1. Ujenzi wa Hospitali ya Mloganzila:
  2. Uboreshaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili:
  3. Daraja la Tanzanite jijini Dar es Salaam;
  4. Daraja Jakaya Kikwete mto Malagalasi;
  5. Uunganishaji wa mkoa wa Kigoma kwenye gridi ya taifa ya umeme;
  6. Mradi wa maji safi na taka mkoani Iringa;
  7. Bandari ya uvuvi Bagamoyo;
  8. Awamu ya kwanza ya mradi wa vitambulisho vya taifa vya NIDA;
  9. Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonesho Zanzibar;
  10. Hospitali ya Binguni Zanzibar
  11. Chuo cha Tehama jijini Dodoma;
  12. Mradi wa umwagiliaji Zanzibar.

Mwisho.

Pole sana Rais Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini na uhuru wa maoni. Mshahara wa yote haya ndiyo hii mashambulizi unayaona kila kona kwenye social media.

Sasa hivi kila mwenye uwezo wa kusoma na kuandika anaandika tu kupinga kila jambo ambalo Rais Samia anafanya. Kila mmoja amekuwa bingwa wa sheria za mikataba, uchumi na fedha na uwekezaji..

Mwendazake alijenga bwawa la JNHEP bila kufuata tatatibu za manunuzi. Alijenga pia Chato Airport na Busisi bila kufuata sheria yeyote iwe ya fedha au ya manunuzi
 
Sasa kama hadi nida tunahitaji mkopo mbona hali ni mbaya!! Hivi majambazi ya ccm mnajivunia nini kwenye hii nchi🙆🙆🙆
 
Pole sana Rais Samia kwa kuruhusu demokrasia nchini na uhuru wa maoni. Mshahara wa yote haya ndiyo hii mashambulizi unayaona kila kona kwenye social media.

Sasa hivi kila mwenye uwezo wa kusoma na kuandika anaandika tu kupinga kila jambo ambalo Rais Samia anafanya. Kila mmoja amekuwa bingwa wa sheria za mikataba, uchumi na fedha na uwekezaji..

Mwendazake alijenga bwawa la JKNHEP bika kufuata tatatibu za manunuzi. Alijenga pia Chato Airport na Busisi bila kufuata sheria yeyote iwe ya fedha au ya manunuzi
Ila ukisoma alichoandika huyu chizi utagundua Ngozi nyeusi kweli tumelaaniwa
 
Kwani unazo akili kwanza kichwani au umejaza kamasi tu? Ngozi nyeusi siyo shida bali kutembea na kichwa mzigo
 
Foolish mweusi kama wewe ndio mnafanya kila siku Africa tuwe masikini
 
Back
Top Bottom