GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Haiwezekani Great Thinker wa JamiiForums GENTAMYCINE ( alias 'East African Brain ) nataka Kulala nasikia tu Mikelele ya....Ooooooo Rabashaka Raboshoka.....Ooooooo mtendeee Bwana Yule na Huyu........Ooooooo Rabota Rushakakaka.........Ooooooo Mfinyange Mfinyange.......Ooooooo zuia Usihgizi Wao wote.....Oooooo toooooka.....toooooka simpo Rabashika.... Hallelujah.
Na kibaya zaidi Kelele hizi zote unazisikia kutoka Kanisa la Kilokole la Mtaani ambako Usiku Kucha unamsikia Mchungaji anaomba kwa Sauti ya Juu na Makelele juu na Kesho yake unapishana nae katika Korido za Gesti na Loji akiwa na Waumini wake wa Kike anaenda Kujipoza kwa Kuwabandua.
Serikali hivi si nilisikia hivi karibuni Waziri au Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani akisema kuwa haya Makanisa ya Kiroho na ya kupenda Kukesha Usiku yaache Kupigia Watu Kelele au Wanunue Kifaa Maalum cha kuzuia Sauti na kuwa Kero Kwetu Wapingaji na Wasapoti Uwekezaji wa DP World Bandarini Tanzania?
Kwakuwa Serikali ( Mamlaka ) hamtaki kulitekeleza hili tayari GENTAMYCINE nimeshamkabidhi Kimemo Mlinzi wa hili Kanisa Dogo la Kilokole nililonalo Jirani ampelekee Mchungaji nikimwambia achague moja apunguze Sauti yake ya Kihubiri yenye Kukera au amalize Ibada Kilazima akalale na awaage Waumini wake au aendelee Kunipigia Kelele zake Dirishani na Waimbaji wake wa Kwaya kisha Hasira zangu Kali za Kizanaki ( Mara ), Kimakuwa ( Mtwara ) na Kitutsi ( Gisenyi nchini Rwanda ) zinipande niwaonyeshe kwanini Nyoka hana Ugoko na kwanini Wimbo wa Taifa ( National Athem ) huwa hauna Kolabo.
Inakera mno tu na haivumiliki kabisa.