Serikali mmeshindwa Kudhibiti haya Makanisa ya Kilokole yanayokesha Kutupigia Kelele Usiku Kucha ili Sisi Wanaotukera tuchukue Maamuzi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haiwezekani Great Thinker wa JamiiForums GENTAMYCINE ( alias 'East African Brain ) nataka Kulala nasikia tu Mikelele ya....Ooooooo Rabashaka Raboshoka.....Ooooooo mtendeee Bwana Yule na Huyu........Ooooooo Rabota Rushakakaka.........Ooooooo Mfinyange Mfinyange.......Ooooooo zuia Usihgizi Wao wote.....Oooooo toooooka.....toooooka simpo Rabashika.... Hallelujah.

Na kibaya zaidi Kelele hizi zote unazisikia kutoka Kanisa la Kilokole la Mtaani ambako Usiku Kucha unamsikia Mchungaji anaomba kwa Sauti ya Juu na Makelele juu na Kesho yake unapishana nae katika Korido za Gesti na Loji akiwa na Waumini wake wa Kike anaenda Kujipoza kwa Kuwabandua.

Serikali hivi si nilisikia hivi karibuni Waziri au Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani akisema kuwa haya Makanisa ya Kiroho na ya kupenda Kukesha Usiku yaache Kupigia Watu Kelele au Wanunue Kifaa Maalum cha kuzuia Sauti na kuwa Kero Kwetu Wapingaji na Wasapoti Uwekezaji wa DP World Bandarini Tanzania?

Kwakuwa Serikali ( Mamlaka ) hamtaki kulitekeleza hili tayari GENTAMYCINE nimeshamkabidhi Kimemo Mlinzi wa hili Kanisa Dogo la Kilokole nililonalo Jirani ampelekee Mchungaji nikimwambia achague moja apunguze Sauti yake ya Kihubiri yenye Kukera au amalize Ibada Kilazima akalale na awaage Waumini wake au aendelee Kunipigia Kelele zake Dirishani na Waimbaji wake wa Kwaya kisha Hasira zangu Kali za Kizanaki ( Mara ), Kimakuwa ( Mtwara ) na Kitutsi ( Gisenyi nchini Rwanda ) zinipande niwaonyeshe kwanini Nyoka hana Ugoko na kwanini Wimbo wa Taifa ( National Athem ) huwa hauna Kolabo.

Inakera mno tu na haivumiliki kabisa.
 
[mention]GENTAMYCINE [/mention]
mkuu bado kwa hili tena sikuungi mkono.

Kama serikali inataka kudhibiti kelele inatakiwa iweke sheria itakayokuwa na fair ground kwa taasisi zote za kidini na madhehehu yote.

Mbona kanisa la roma linapiga kengele kubwa na kama lile kengele la saa 6 usiku ndo linastua watu.

Ratiba za kengele (niko karibu na kanisa la roma approx. 3-4 kilomitas)
-saa 12 asubuhi
-saa6 mchana
-saa9 alasiri
-saa 12 jioni
-saa 2 usiku
-saa 6 usiku.

Je, Hizo si kelele Genta?

Kwahyo isiwe walokole, RC, (wakristo kiujumla) na waislam wote sheria iwe fair. no noise kwa wote siyo saa 10 nasikia “”swalaa swalaa sijui atakayelala hatooiona pepo sijui kile”

Nshomile
kwasasa kahama,Tanzania
 
Mambo ya Imani ukiwa na akili ndogo ya kutovumiliana ndiyo yanakusumbua zaidi. Ila ukitafuta njia mbadala au ukiwa na mishe zako wala hayakusumbui kiviiile. Wakati wanasali wewe fungulia redio, weka sound proof ndani kwako au fanya jambo mbadala la kuondoa usumbufu kwako bila kuaharibu utaratibu wa wawatu na Imani zao.
Kwa mfano, Mimi siyo muislam wala si mkatoriki lakini adhana na kengele hazijawai kuwa taabu kwangu. Au sijui ni mazingira tuliyokulia. Au labda watu wa mikoani hamjazoea ustaarabu wa watu kama wa pwani.
 
Hata wakati wa kulala watafute mishe sio?
 
Haiwezekani Great Thinker wa JamiiForums GENTAMYCINE ( alias 'East African Brain ) nataka Kulala nasikia tu Mikelele ya....Ooooooo Rabashaka Raboshoka.....Ooooooo mtendeee Bwana Yule na Huyu........Ooooooo Rabota Rushakakaka.........Ooooooo Mfinyange Mfinyange.......Ooooooo zuia Usihgizi Wao wote.....Oooooo toooooka.....toooooka simpo Rabashika.... Hallelujah.

Na kibaya zaidi Kelele hizi zote unazisikia kutoka Kanisa la Kilokole la Mtaani ambako Usiku Kucha unamsikia Mchungaji anaomba kwa Sauti ya Juu na Makelele juu na Kesho yake unapishana nae katika Korido za Gesti na Loji akiwa na Waumini wake wa Kike anaenda Kujipoza kwa Kuwabandua.

Serikali hivi si nilisikia hivi karibuni Waziri au Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani akisema kuwa haya Makanisa ya Kiroho na ya kupenda Kukesha Usiku yaache Kupigia Watu Kelele au Wanunue Kifaa Maalum cha kuzuia Sauti na kuwa Kero Kwetu Wapingaji na Wasapoti Uwekezaji wa DP World Bandarini Tanzania?

Kwakuwa Serikali ( Mamlaka ) hamtaki kulitekeleza hili tayari GENTAMYCINE nimeshamkabidhi Kimemo Mlinzi wa hili Kanisa Dogo la Kilokole nililonalo Jirani ampelekee Mchungaji nikimwambia achague moja apunguze Sauti yake ya Kihubiri yenye Kukera au amalize Ibada Kilazima akalale na awaage Waumini wake au aendelee Kunipigia Kelele zake Dirishani na Waimbaji wake wa Kwaya kisha Hasira zangu Kali za Kizanaki ( Mara ), Kimakuwa ( Mtwara ) na Kitutsi ( Gisenyi nchini Rwanda ) zinipande niwaonyeshe kwanini Nyoka hana Ugoko na kwanini Wimbo wa Taifa ( National Athem ) huwa hauna Kolabo.

Inakera mno tu na haivumiliki.

The East African Brain 🧠 popoma bana 😂
 
Mambo ya Imani ukiwa na akili ndogo ya kutovumiliana ndiyo yanakusumbua zaidi. Ila ukitafuta njia mbadala au ukiwa na mishe zako wala hayakusumbui kiviiile. Wakati wanasali wewe fungulia redio, weka sound proof ndani kwako au fanya jambo mbadala la kuondoa usumbufu kwako bila kuaharibu utaratibu wa wawatu na Imani zao.
Kwa mfano, Mimi siyo muislam wala si mkatoriki lakini adhana na kengele hazijawai kuwa taabu kwangu. Au sijui ni mazingira tuliyokulia. Au labda watu wa mikoani hamjazoea ustaarabu wa watu kama wa pwani.
Upuuzi wa Kilokole hauvumiliki. Yaani uvumilie kukesha unapigiwa makelele wakati ratiba na performance za watoto kwenye masomo na kimakuzi vinaathirika?
 
Haiwezekani Great Thinker wa JamiiForums GENTAMYCINE ( alias 'East African Brain ) nataka Kulala nasikia tu Mikelele ya....Ooooooo Rabashaka Raboshoka.....Ooooooo mtendeee Bwana Yule na Huyu........Ooooooo Rabota Rushakakaka.........Ooooooo Mfinyange Mfinyange.......Ooooooo zuia Usihgizi Wao wote.....Oooooo toooooka.....toooooka simpo Rabashika.... Hallelujah.

Na kibaya zaidi Kelele hizi zote unazisikia kutoka Kanisa la Kilokole la Mtaani ambako Usiku Kucha unamsikia Mchungaji anaomba kwa Sauti ya Juu na Makelele juu na Kesho yake unapishana nae katika Korido za Gesti na Loji akiwa na Waumini wake wa Kike anaenda Kujipoza kwa Kuwabandua.

Serikali hivi si nilisikia hivi karibuni Waziri au Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani akisema kuwa haya Makanisa ya Kiroho na ya kupenda Kukesha Usiku yaache Kupigia Watu Kelele au Wanunue Kifaa Maalum cha kuzuia Sauti na kuwa Kero Kwetu Wapingaji na Wasapoti Uwekezaji wa DP World Bandarini Tanzania?

Kwakuwa Serikali ( Mamlaka ) hamtaki kulitekeleza hili tayari GENTAMYCINE nimeshamkabidhi Kimemo Mlinzi wa hili Kanisa Dogo la Kilokole nililonalo Jirani ampelekee Mchungaji nikimwambia achague moja apunguze Sauti yake ya Kihubiri yenye Kukera au amalize Ibada Kilazima akalale na awaage Waumini wake au aendelee Kunipigia Kelele zake Dirishani na Waimbaji wake wa Kwaya kisha Hasira zangu Kali za Kizanaki ( Mara ), Kimakuwa ( Mtwara ) na Kitutsi ( Gisenyi nchini Rwanda ) zinipande niwaonyeshe kwanini Nyoka hana Ugoko na kwanini Wimbo wa Taifa ( National Athem ) huwa hauna Kolabo.

Inakera mno tu na haivumiliki.
Hata wewe kuna watu unawapigia kelele mfano hao wa DP WORLD unadhani wanafurahia?

Kama ambavyo wewe unawapigia kelele wengine ndivyo ambavyo walokole wanampigia kelele shetani!

Unapaswa kuwashukuru maana kwa mkesha na kelele zao pengine wanakusaidia katika ulinzi shirikishi!

Hata hivyo ungekuwa na hela usingezisikia hizo unazoita kelele! Kuna namna ungefanya kwa nyumba yako kudhibiti kelele za nje lakini kwa vile huna hela na inaonekana umejenga ama umepanga uswahilini ambako ndiko makanisa design hiyo yapo tunakushauri uvumilie tu acha kutupigia kelele zako za kijinga kwa hili halioneshi hata kidogo kwamba "you are brain of Africa! Nahisi utakuwa mchawi wewe wanakuchoma na mihirizi yako! Pole
 
Dawa ni KUACHA UCHAWI vinginevyo utaendelea kuungua mpaka uhame!
 
Nimecheka mpaka Basi. Kwanza Umenielimisha, Pili umenipiga Madongo ya maana na ukilenga mule mule na Tatu umenishauri vyema kuwa nitatute Hela ili nisipate hizi Kero.

Nimecheka mno Mkuu na tuko pamoja.
 
mkuu mm niko jirani na Bar ya kwanza mita 10 baa ya 2 mita 180 na kanisa la kilokole kama mita 200 hivi shida ninayoipata so poa nowadays nimezoea maana siku za kongamano wanashindana (niko mkoani)
 
Yani wewe jamaa sijui una Nini huu ni kama Uzi Wa tatu hivi nauona kutoka kwako unapambana tu na walokole utafikiri kelele ndo changamoto pekee kwenye nchi yako
 
Kwakuwa siwapendi na hawana Akili.
Duniani wote hatuna akili! Ungekuwa na akili ungebuni kitu cha kukuondolea kero hiyo pasipo kupigizana kelele na wana wa Mungu kana kwamba umekuwa kichaa!
Wanasema kichaa akikukuta unaoga na akachukua nguo zako na wewe ukaanza kumfukuza ukiwa uchi, wewe ndiyo utaonekana kichaa!

Unatakiwa ujue pia, si wote wanakupenda wewe! Isije ikawa hata wao hawakupendi pia! Tuishi kwa kuvumiliana na kupendana maana hakuna mkamilifu!
 
Back
Top Bottom