Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo vip!!
Niwazi yakwamba pamoja na jitahada za serikali na club ya Simba kuishawishi CAF match ipigiwe pale kwa Mkapa,eti CAF wamewaona serikali na club ya Simba ni wababaishaji wasiojielewa.
Sasa ni bora serikali imwage ugali,itangaze pale Amani kuna mkutano wa kiserikali pale Amani tar.25.05.2025.