Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Yaani badala uwapongeze CAF kwa kuiumbua serikali yako na ufisadi wa bilioni 35 wewe unawaza udwanzi [emoji3]Hapo vip!!
Niwazi yakwamba pamoja na jitahada za serikali na club ya Simba kuishawishi CAF match ipigiwe pale kwa Mkapa,eti CAF wamewaona serikali na club ya Simba ni wababaishaji wasiojielewa.
Sasa ni bora serikali imwage ugali,itangaze pale Amani kuna mkutano wa kiserikali pale Amani tar.25.05.2025.
Bora turudi kule kuliko serikali yetu idhalilishwe..yaani viongozi wetu hawajielewi?Watangaze mkutano hio tarehe 25 ndio watajua maana ya ubaya ubwela
Mechi itarudiwa huko huko walikotoanzia
CAF haipelekeshwi
Uwanja upo vizuri..hakuna ufisadi wowoteYaani badala uwapongeze CAF kwa kuiumbua serikali yako na ufisadi wa bilioni 35 wewe unawaza udwanzi [emoji3]
Hapo vip!!
Niwazi yakwamba pamoja na jitahada za serikali na club ya Simba kuishawishi CAF match ipigiwe pale kwa Mkapa,eti CAF wamewaona serikali na club ya Simba ni wababaishaji wasiojielewa.
Sasa ni bora serikali imwage ugali,itangaze pale Amani kuna mkutano wa kiserikali pale Amani tar.25.05.2025.
[/QUOT
ZFA/TFF wamesha thibitisha mchezo utafanyika New Aman Complex hakuna notice yoyote ya matumizi ya Serikali katika uwanja uo.
Watakacho Fanya CAF ni kuiona iyo kama hujuma katika mpira wao.
Berkane watapewa kombe bila kucheza, Simba watapewa adhabu yao na TFF/ZFA wata pigwa rungu la utosi.
Serikali isimame kideta kuonyesha inaviongozi wenye akili na umakini...tafsiri ya hsya maamuzi inaonyesha dunia serikali ya Tanzania ni yawababaishaji.Unaletea uCCM CAF? Jaribuni muone.
Marekani na ulaya hawana ujinga wa kula hela za ukarabati wa uwanja, kule viwanja vimenyookaHii ni dharau iliyopitiliza kwacserikali ya Tanzania...imagine ingekuwa marekani au nchi yeyote ya ulaya
mbona haujawapeleka mahakama wale waliokula pesa?uwanja upo vizuriMarekani na ulaya hawana ujinga wa kula hela za ukarabati wa uwanja, kule viwanja vimenyooka
typing error,akili za watanzania zimejikita kumshambulia mtu badala ya kujikita kujibu hoja ya mtu! Pumzika kwa amani JPM,MKAPA,EL na JKNKuzailishwa kunamaaa gani kwani. ???
Hawawezi kufanya ujinga kama huu wa kwetu.Hii ni dharau iliyopitiliza kwacserikali ya Tanzania...imagine ingekuwa marekani au nchi yeyote ya ulaya