Serikali mmezailishwa na CAF,bora mtangaze mkutano wa kiserikali hiyo tar 25.05.2025 pale Amani Complex

Mnadhani CAF ni TFF ya mwanachama wenu!??
 
mbona haujawapeleka mahakama wale waliokula pesa?uwanja upo vizuri
Kama upo vizuri kacheze wewe, ila simba ni znz, serikali yetu ilifikiri itaweza kuwaingilia caf kama inavyowaingilia tff, kutwa kuchwa wanasiasa wako taifa utazani wana utaalam na viwanja,
#TukutaneZanzibar
 
Huna akili wewe kama wanataka kufungia ka FiFa wafanye hivyo
 
Bilioni 31, sasa huo ukarabati walikuwa wanatengeneza wapi sasa. Maana hata kama Sina uwelewa miongoni mwa eneo muhimu kama sio namba moja basi ni namba mbili liwe Bora ni eneo la kuchezea. Sasa huo ukarabati wa bilioni 31 walikuwa wanakarabati nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…