Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
hamna kitu hapo huyo kakosa mgao ni sawa na hivi vyama ccm na chadema siku ccm akitolewa madarakani Dola akishika chadema na wao watakua wanaiba na kuua watu kama ccm wanavyofanya hamna hii ni kawaida ya muafrica kujilimbikizia maliKwani kukamata mwizi ni kosa kisheria?
hayo ndio marupurupu ya kusoma, mishahara yenyewe serikalini midogo sana wanapata hao jamaa, waache walee familia, afterall in watanzania wenzetu hao. waacha wale.Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia ngazi za huko juu Utumishi mkuu hao pia ndio chanzo cha hizi dili...Msipoangalia mtazalisha tena watumishi Hewa
Kakosa mgao huyohayo ndio marupurupu ya kusoma, mishahara yenyewe serikalini midogo sana wanapata hao jamaa, waache walee familia, afterall in watanzania wenzetu hao. waacha wale.
Huo mgao huwa unaanzia Tsh ngapi kwa mtu mmoja?Kakosa mgao huyo
Muulize yeye mwenyewe alietoa hiyo habariHuo mgao huwa unaanzia Tsh ngapi kwa mtu mmoja?
Mbuzi kawaida yake achinjwe tupate supu.Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia ngazi za huko juu Utumishi mkuu hao pia ndio chanzo cha hizi dili...Msipoangalia mtazalisha tena watumishi Hewa
UMASKINI NI MBAYA SANA..UMASKINI UNAKUFANYA AUTOMATICALLY UNAKUWA MCHAWI.Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia ngazi za huko juu Utumishi mkuu hao pia ndio chanzo cha hizi dili...Msipoangalia mtazalisha tena watumishi Hewa
Jinga hilo! rasilimali zinauzwa hovyo halijaleta hata uzi mmoja hapa jukwaani.Weee!!
Mbuzi kawaida yake achinjwe tupate supu.
Umbea ++
Watu wanapiga Billions kwenye deals zao huko juu, watu wanauza hadi rasilimali za 🇿🇦, na hamsemi.
Vi issue vidogo ndo mnafatilia.
mkuu hilo tusi la mwisho umeua kbs!Lione sura mbaya, kwani hayo mambo yanakuhusu nini? Na ukizeeka lazima uwe mchawi.. mbwa wa Iringa wewe.. bible knowledge@@#*!!!!!
Mimi ninachojuaaSasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia ngazi za huko juu Utumishi mkuu hao pia ndio chanzo cha hizi dili...Msipoangalia mtazalisha tena watumishi Hewa