Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
hamna kitu hapo huyo kakosa mgao ni sawa na hivi vyama ccm na chadema siku ccm akitolewa madarakani Dola akishika chadema na wao watakua wanaiba na kuua watu kama ccm wanavyofanya hamna hii ni kawaida ya muafrica kujilimbikizia maliKwani kukamata mwizi ni kosa kisheria?