Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Fine, sasa muda mwingine tuwe na akili za kutosha........ huyu anatumwa na DPP, ofisi ya mashitaka ya Taifa. Anaambiwa fanya hiki...sasa mnategemea akatae?Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
So waliotumwa kumuua Mdude na kumpiga Lissu tukiwajua tuwaache maana walitumwa?Fine, sasa muda mwingine tuwe na akili za kutosha........ huyu anatumwa na DPP, ofisi ya mashitaka ya Taifa. Anaambiwa fanya hiki...sasa mnategemea akatae?
Kama sisis milioni 60, tumeshindwa kuandamana kama Kenya, mnataka katuga aandamane peke yake?
Hapana msimuonee!
Kimahakama unaruhusiwa kujitoa kwenye kesiFine, sasa muda mwingine tuwe na akili za kutosha........ huyu anatumwa na DPP, ofisi ya mashitaka ya Taifa. Anaambiwa fanya hiki...sasa mnategemea akatae?
Kama sisis milioni 60, tumeshindwa kuandamana kama Kenya, mnataka katuga aandamane peke yake?
Hapana msimuonee!
kuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
Nimeshasema humu mambo yaliyoko jikoni huko, ukijiegesha CCM na kudharau watu, kutokuchunga mdomo wako, soon utakutana na Raia wenye hasira kaliBwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
Hayupo ata mmoja ,waandishi wa Ayo TV na Jambo TV ndo wanaandaliwa sahiviNauliza
Kati ya wale mashahidi wa Siri hayumo aikael M? Nauliza tu
SawaBwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
KamaaKamwe basha hasusiwi makalio wakuu.
Haya mimi nipo hapa naangalia tu wananchi walivyoamua kususia vitu ambavyo havipaswi kususiwa.
Katuga ana maadui hatari😁kuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa? Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
amewaita yeye mwenyewe. atajua hajui soon!Katuga ana maadui hatari😁
Kama Yericko yumo atashindwaje Mangi wa Machame roho ya paka kuwemo!!Nauliza
Kati ya wale mashahidi wa Siri hayumo aikael M? Nauliza tu
Anayechelewesha msafara ni ng'ombe aliyetangulia, mijeredi anapigwa wa nyumaaFine, sasa muda mwingine tuwe na akili za kutosha........ huyu anatumwa na DPP, ofisi ya mashitaka ya Taifa. Anaambiwa fanya hiki...sasa mnategemea akatae?
Kama sisis milioni 60, tumeshindwa kuandamana kama Kenya, mnataka katuga aandamane peke yake?
Hapana msimuonee!
Eti " Fear Of God" sijui ni God yupi huyo!!Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.