Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

Status
Not open for further replies.
kuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
Kavaa t-shirt imeandikwa " Fear Of God"
 
Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.

Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.

Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.

We are watching.
Kuna kazi ukizifanya wewe na shetani lazima muwe kitu kimoja.
 
Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.

Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.

Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.

We are watching.
Kasome kwanza lugha. Mahairisho ndio nini!
 
Apewe mimba TU huyu
 
kuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
AMINA
 
Huyu jamaa ana roho mbaya kuliko hata Pharaoh na Pilato.
 
kuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
AMINA.
 
Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.

Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.

Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.

We are watching.
Viongozi waoga na wenye akili ndogo hutumia mabavu... kwasababu huwa hawawezi kukaa mioyoni mwa wananchi kwa utendaji wao ila kwa kulazimisha.

Ndo maana huwa nasema Lissu ni jipu ambalo wenye stress zao wanasubiri lipasuke...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom