Dr. MajimarefuIla chadema ni mijitu flani yenye ushamba na ulofa mwingi sana. Mambo yao ni ya kijinga jingaaaa
Tenda Yale unayopenda kutengewa na wenzio!Anaogopa kivuli chake?!Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
Hatumuonei,hana Akili ya kujiongeza,ajifanye anaumwa,apelekwe mwingine!Fine, sasa muda mwingine tuwe na akili za kutosha........ huyu anatumwa na DPP, ofisi ya mashitaka ya Taifa. Anaambiwa fanya hiki...sasa mnategemea akatae?
Kama sisis milioni 60, tumeshindwa kuandamana kama Kenya, mnataka katuga aandamane peke yake?
Hapana msimuonee!
Mashahidi wa siri ni hawa waremboNauliza
Kati ya wale mashahidi wa Siri hayumo Aikael M? Nauliza tu
Na wote tuseme Amina,Aminaa!kuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
Ccm mbele kwa mbeleIla chadema ni mijitu flani yenye ushamba na ulofa mwingi sana. Mambo yao ni ya kijinga jingaaaa
Kuna God na god, atakuwa god ikwemo miunguEti " Fear Of God" sijui ni God yupi huyo!!
😄 mkuu taratibu banaBwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
Apate hasara kama sisi tulivyopata hasara kuanzia mwezi wa nne hadi sasa kwa kumweka Tundu Lissu ndani kwa kosa la uhaini ambalo halina ushahidi.Hapana jamani watoto au ndugu wengine hawahusiki.
tishKatuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.😂😂🤣
Kwa namna yoyote ile atakayoamua bado atakua hatariniHuyo jamaa anahatarisha ukoo wake mzima, na wanapojichanganya na jamii wanaonekana wote ni washiriki wa hila za huyo ndugu yao...angejua angeamua moja tu...hatuishi milele hapa duniani
Hutu wanamuonea tuFine, sasa muda mwingine tuwe na akili za kutosha........ huyu anatumwa na DPP, ofisi ya mashitaka ya Taifa. Anaambiwa fanya hiki...sasa mnategemea akatae?
Kama sisis milioni 60, tumeshindwa kuandamana kama Kenya, mnataka katuga aandamane peke yake?
Hapana msimuonee!
Japo yeye kajitoa kivyovyote vile na bilashaka aliulizia kwa waliompa jukumu kua atafaidikaje,akasmbiwa ndiyo akajitosa kumfanyia Lissu anayomfanyia,lakini kama na adhabu apewe yeye tu na siyo ndugu jamaa au marafiki zake.Hawa watu wanatumika unakuta hana namna kutokana na kiapo.Apate hasara kama sisi tulivyopata hasara kuanzia mwezi wa nne hadi sasa kwa kumweka Tundu Lissu ndani kwa kosa la uhaini ambalo halina ushahidi.
Taperi mkubwaaaEti fear of god anajua alichovaa kweli?