Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
We ulivyo mpumbavu unaingia kwenye mtego wa hayo mazombie? Nani wa kumfanya kitu? Acheni kujifurahisha nyie wapumbavu, nchi yetu haijafikia huko, km amefunga akaunti labda kwasababu ya matusi ya hayo mabwege, tena msifikiri mmejificha kwenye ID feki mtawajibika akipatwa na lolote nyie vibwengo. Ht hivyo misukule haya ya ID feki yanajifurahishaga tu humu kwa mauzushi, upotoshaji, uwongo na maujingaujinga ya kitoto. Huyo mtu anapiga kazi yake salama saliminikuna kazi nyingine hata kama zina maslahi mazuri kiasi gani sio za kufanya. Unaendesha kesi ya uongo ili mtu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa?!!!! Ni uzwazwa wa hali ya juu sana kukubali kutumwa kazi na shetani. Wote walioanzisha na wanaoshiriki usheitwani huu wapatwe na la kuwapata. Na wote tuseme Amina.
lakin mbona china chama ni kimoja na hamna tabu hii. hii inapoendea watumishi watakua na wakat mgumu.sasa katuga ana kosa gani?Nimeshasema humu mambo yaliyoko jikoni huko, ukijiegesha CCM na kudharau watu, kutokuchunga mdomo wako, soon utakutana na Raia wenye hasira kali
Yawezekana hawezi kujitoa sababu ya donge nono na ahadi za kupandishwa cheo baada ya kumaliza mission!Kimahakama unaruhusiwa kujitoa kwenye kesi
Nawe unaamini huo upumbavu? Ingekuwa hivyo Kibatala aliyesimamia kesi ya Bilionea Msuya angeishi kwa amani? Wakati ndugu wa marehemu wote wawili yaani Erasto Msuya na mdogo wake wanajua kabisa mke wa Erasto ndiyo amewaua ila tu technicality ya sheri na rushwa imemsaidia? Hao nyumbu ni zero brain. Halafu jamii wa watu walioko huku hawapo kiuhalisia huku uraiani. JF ya siku hizi siyo ya kuifuatilia, ni virtual society haipo ktk uhalisia mpk uje humu. Mambo mengi ni uzushi, uwongo, ushabiki, upotoshaji. Ndiyo hasara ya mitandaoSema Kazi ya sheria na yenyewe ni ngumu Sana maaana unabadilisha ukweli unakuwa uongo.
Kazi za laana Sana hizi
Wadili na mhusika na sio watoto na mke hawana kosa haoBwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
Acha kuwasikiliza na kuwaamini hao misukule hakuna kt km hicho, ni waongo na wazushi na ndio maisha yaolakin mbona china chama ni kimoja na hamna tabu hii. hii inapoendea watumishi watakua na wakat mgumu.sasa katuga ana kosa gani?
Mkuu una umri gani? Mbona hii sio kesi ya kwanza kwa mashahidi kutoanikwa hadharani katika nchi hii na haki ilitendeka.Hujiulizi kwanini hata mashahidi wanafuchwa ilhali kesi hiyo ina maslahi kwa umma?
Kwanini hao mashahidi wasiwe wazi ili hata wapongezwe kwa kusaidia kukamatwa mhaini ambaye katukosea sana sisi wananchi?
Unaamini Lissu ni mhaini,tumia tu Common sense.Just imagine ile kauli ya MPIX ya Makalla ingetolewa na MPINZANI wa kweli wa CCM, huoni angetiwa nguvuni?
Vipi kuhusu kauli za yule dogo wa UVCCM wa Kagera aliyewaambia polisi wasihangaike na wanaopotezwa,unadhani angekua Mahinyila ndo kasema vile angekua uraiani?
Tumia common sense tu,utajua aliyokia anayesema Rostam kuhusu mahakama zetu,ndicho kinachoshuhudiwa.MAELEKEZO.
Mkuu kwanini umekuja na hitimisho kuwa anaendesha kesi ya uongo ikiwa bado hujasikiliza ushahidi utakaowasilishwa hapo mahakamani na wala hukumu haijatoka kuonesha kwa tuhuma ni za kweli ama la?
Kwakuwa jambo lipo mahakamani tuheshimu taratibu za kimahakama na tuache dhana za kutishia usalama wa wote walio katika mchakato huu kuhakikisha mbivu na mbichi zinafahamika
Ndio akubakiane na vyote sasa inaitwa sacrifice. Uumie kwenye familia Yako halafu account inone pesaYawezekana hawezi kujitoa sababu ya donge nono na ahadi za kupandishwa cheo baada ya kumaliza mission!
Kuna tafsiri ya kisheria ambayo inaelekeza kesi ya uhaini inatakiwa iwe na idadi kadhaa ya watuhumiwa ndiyo inaweza kupelekea kosa la uhaini kutendeka?kwenye hiyo bogus case, ni kitu gani ambacho hakiko wazi? uliona wapi kesi ya uhaini ya mtuhumiwa mmoja. Hizi gharama anazopitia Lissu mtazilipia. Hakuna kitakachokwenda bure. Mungu hadhihakiwi!
ndugu yangu nakushauri, acha kutetea watesi. Wewe ni kijana una safari ndefu ya maisha, USITETEE UDHALIMU!Kuna tafsiri ya kisheria ambayo inaelekeza kesi ya uhaini inatakiwa iwe na idadi kadhaa ya watuhumiwa ndiyo inaweza kupelekea kosa la uhaini kutendeka?
Kwa mitusi hii lazima ubaki kuwa mshamba! Lini umekuja mjiniAkisoma Mume wako inatosha
Jamaa wa nyasubi anakuaje mshamba namna hioBwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
Mbona jaji hajajificha wala kukimbia nchi, acha uchonganishi.Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike,
Hadi kwao kabisa Nyasubi-phantom-Kahama, pamefahamika.
Katuga amepokea vitisho Hadi amejiondoa kwenye mitandao ya kijamii,Kafuta post zote Instagram,na account yake kaweka private.
Kumbe waovu nao ni waoga aswaaa. Serikali mpeni ulinzi Katuga wa yeye binafsi, mke na watoto wake wa kike na wazazi wake uko Kahama-Shinyanga.
We are watching.
Ndugu mimi ni mstaafu. Ila nasikitika kuona vijana tuliowaachia Taifa mliendeshe namna msivyopenda kujifunza katika historia ya Taifa hili na kuzishughulisha akili zenu kufanya upembuzi yakinifu wa hoja mbalimbali zinazotolewa na watu mbalimbali kupata ukweli halisi baada ya kuziweka propaganda pembeni.ndugu yangu nakushauri, acha kutetea watesi. Wewe ni kijana una safari ndefu ya maisha, USITETEE UDHALIMU!
nimekupa USHAURI, kama utaufuata ama hutoufuata ni juu yako. Utajua mwenyeweNdugu mimi ni mstaafu. Ila nasikitika kuona vijana tuliowaachia Taifa mliendeshe namna msivyopenda kujifunza katika historia ya Taifa hili na kuzishughulisha akili zenu kufanya upembuzi yakinifu wa hoja mbalimbali zinazotolewa na watu mbalimbali kupata ukweli halisi baada ya kuziweka propaganda pembeni.
Kuujua ukweli si jambo jepesi kama hamtanoa vichwa, matokeo yake itakuwa rahisi kushibishwa propaganda kila uchao.
Wakati mwingine hata macho yako yanaweza kukudanganya, hapo ndiyo utaamini kuwa ukweli haupatikani kwa kutumia mlango mmoja tu wa fahamu
Tumia Facebook na Ticktock ikiwa JF inakupa hasira but I'm here to stay.Nawe unaamini huo upumbavu? Ingekuwa hivyo Kibatala aliyesimamia kesi ya Bilionea Msuya angeishi kwa amani? Wakati ndugu wa marehemu wote wawili yaani Erasto Msuya na mdogo wake wanajua kabisa mke wa Erasto ndiyo amewaua ila tu technicality ya sheri na rushwa imemsaidia? Hao nyumbu ni zero brain. Halafu jamii wa watu walioko huku hawapo kiuhalisia huku uraiani. JF ya siku hizi siyo ya kuifuatilia, ni virtual society haipo ktk uhalisia mpk uje humu. Mambo mengi ni uzushi, uwongo, ushabiki, upotoshaji. Ndiyo hasara ya mitandao