Serikali mshugulikieni kabendera akione Cha moto Ili iwe fundisho Kwa watu wanaotafuta kiki

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
 
Muda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
 
Sahihi kabisa
 
Mbona kama umepaniki! Au ni mtoto wa mzee nini? Ila naye mzee wako alizidi ukatili ndo maana hatumtetei sana
 
Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Ukweli huwa haufichiki bali unacheleweshwa. Kumshugulikia msema kweeli haiwezi kusaidia. Kkukata mzizi wa fitina ni kuleta wachuguzi wa kimataifa wachugugize alipoteaje. Na wote walio potea wachunguzwe walipotezwa na nani? Vitabu kama in name of the president vitachapishwa vingi tu ni suala la mda tu.
 
Muda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
Lissu anashughulikiwa na nani? Mtu yupo relevant mpaka anakigawa chama unasema anashughulikiwa! ?
 
Ukweli huwa haufichiki bali unacheleweshwa. Kumshugulikia msema kweeli haiwezi kusaidia. Kkukata mzizi wa fitina ni kuleta wachuguzi wa kimataifa wachugugize alipoteaje. Na wote walio potea wachunguzwe walipotezwa na nani? Vitabu kama in name of the president vitachapishwa vingi tu ni suala la mda tu.
Ukweli Gani kuandika hata Mimi naweza kuamka asubuhi nikaandika hivi unaakili timamu kweli alete picha za tukio ndio tutaamini ila sio maandishi
 
Back
Top Bottom