Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Wewe ni MPUMBAVU ambaye unadhani aliyoyaandika Erick Kabendera ni ya UWONGO.Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Magufuli alikufa kwa madhambi aliyowatendea Watanzania