Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Nimechagua kusimama na the late. Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Kuongoza nchi, ni kazi kubwa sana, sijawahi kuongoza nchi wala kuwa kiongozi mawandamizi, lakini nafahamu kuongoza over 50+ cloud ni kazi inayohitaji, DAMU, JASHO NA MACHOZI.
Serikali kuu (hasa ofisi kuu ya taifa, ofisi namba moja ya taifa) ni taasisi, siyo mtu mmoja. Urais siyo mtu mmoja ni taasisi kubwa ambayo ina kila kitu.
Serikali ya nchi yoyote inaweza kuuwa, kushikilia watu kwa siri, hakuna sehemu katika katiba hivi vitu vimeandikwa. Niamini mimi kuwa hivi vitu vipo na vinafanyika kila nchi, hata ile nchi inayotumia mtawala wa kidini (pope) hivi vitu hufanyika.
Angalieni series ya Tylor inaitwa THE OVAL (Ameongelea white house ya Marekani), baadhi ya matukio ya mauaji yamefanyika in the name of the oval (white hoise ya marekani), wakati ambao hata mkuu wa oval(Rais) hafahamu.
Nenda ukaangalie series ya kikorea inafundisha kuhusu uongozi na namna ya kudeal watu wanaoweza kuangusha serikali inaitwa SHINE OR GO CRAZY.
Machepele, kwa sasa nipo
Nzela, Geita Tanzania.