Serikali mshugulikieni kabendera akione Cha moto Ili iwe fundisho Kwa watu wanaotafuta kiki

Serikali mshugulikieni kabendera akione Cha moto Ili iwe fundisho Kwa watu wanaotafuta kiki

Nadhani angeleta uthibitisho wa picha ya tukio tungemuamini lakini maandishi tunamuona tapeli inabidi ashugulikiwe
Mkuu wewe unayepinga ndiye unayepaswa kuleta hiyo picha kuonesha kuwa kuwa yeye kadanganya.

Ukiona vipi kuliko kubwabwaja huku mfungulie mashtaka mahakamani.
 
Watu hawatakiwi kuendeshwa na hisia ndio maana kuna mahakama na wanasheria..
Nchi inafaa iongozwe na sheria sio hisia
Sasa imagine kiumbe kama mleta uzi ashike madaraka hata ya mtendaji wa kata tu, huo moto wake wananchi watakoma.

Na ndio viongozi wengi Tz wako namna hii, hawafati sheria bali hisia.
 
Mkuu kama unaamini kaongopa tuwekee hapa ukweli unaoujua, punguza mihemuko weka hapa ukweli wako tuende sawa.
Wewe ndio unamihemko nithibitishie huo ukweli kwamba saa nane ameuwawa sio porojo
 
Mkuu wewe unayepinga ndiye unayepaswa kuleta hiyo picha kuonesha kuwa kuwa yeye kadanganya.

Ukiona vipi kuliko kubwabwaja huku mfungulie mashtaka mahakamani.
Hivi unaejielewa kweli yeye alieleta Hilo swala ndio anapaswa alete picha sio kutuandikia maandishi hata Mimi naweza kuamka na kuandika
 
Mkuu kama unajua yupo si utoe ushahidi kuwa yupo!! Pili, hujalazimishwa kununua hiko kitabu au kuzuia kuandika cha kwako au kufungua mashtaka.
Wewe unaesema kafa tuthibitishie Kwa picha sio porojo za maandishi
 
Anaandika Usoka

"Kuna watu wanaabudu mzimu mzee Magu.Wanaona alikuwa Mungu japo sikatai kwao anaweza akawa mungu.Ila hili la kumtetea bila kujua udhaifu wake linatia shaka sana juu ya huko tuendako.Hivi mliwahi kujiuliza kwa nini familia haiongeaji!!.Pia hii ni kufuru kwamba Mungu hana watu wengine zaidi yake.Kama ingekuwa hivyo Mungu angemwacha,na ni vyema kujua akili za Mungu hazichunguziki,yeye ni zaidi ya viumbe vyote"
We mjinga fanya kazi naona inakuuma kutumbuliwa
 
Muda ndo utamshughulikia hata Lisu alijiona mjanja sana kutumika na vibaraka kumchafua JPM lakini laana inamtafuna na Sasa anashughulikiwa yeye tena baadhi ya wale waliomtuma sijajua na mabeberu wakimtumpa itakuaje
Lissu anateseka Magufuli akiwa wapi??
 
Mkuu kama unaweza kuandika si uandike, unashindwa nini??? Kakuzuia nani???
Wewe mbona umerukia kuja kucomenti kwenye Uzi wangu kwani umeuandika wewe kama wewe unavyonipinga hapa kwenye Uzi ambao nimeandika Mimi basi na Mimi nampinga huyo tapeli kabendera
 
Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Yeye ni mwandishi.. Acha aongee. Wananchi wenyewe tuchambue mbivu ni ipi na mbichi ni ipi. Unaweweseka??
 
Back
Top Bottom